Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mayai ya kienyeji mazuri kwa kula na kutotolesha yapo ubungo riverside tray elfu 12000. Piga 0757 526752
IMG-20210623-WA0007.jpg
 
Nina shamba la miti ya asili, miti aina ya mninga,mkulungu nk..vibali vya uvunaji vinatoka , kwa aliye serious tuunganishe nguvu tuvune..
 
Msaada tafadhal, nahitaji kufanya biashara ya kuonyesha mpira! Mwnye uzoefu tafadhal niandae bajet kiasi gani? NB NATAKA KUANZA MWEZ WA 8.

itategemea na eneo na banda/ sehemu unayotaka kuonesha mpira ila kama utatumia tv ukiwa na tv kubwa utavutia watazamaji.banda la mpira ukipata eneo lenye mashabiki brother banda linatoa
 
Dawa za nywele za bei ya kiwandan napata wapi? Kama zile tinazonunuaga kariakoo kwenye Maduka. I'm sure wanapaa kwa bei rafiki zaidi
 
Wakuu naomba connection ya viatu vya mtumba kwa waliopo sumbawanga. au kwa alie wahi kuchukulia mzigo hapo

au mbeya
 
Wakuu naomba connection ya viatu vya mtumba kwa waliopo sumbawanga. au kwa alie wahi kuchukulia mzigo hapo

au mbeya
Viatu vya mtumba ukitaka kwa bei rahisi fika Soko la Sido mbeya,juhudi yako ni kuamka mapema tu na kufika eneo la tukio tu,,,,zaidi karibu PM nikuunganishe na winga ambaye anauza viatu vya mtumba Mbeya.
 
Back
Top Bottom