Sasa mpk Simba anapokea bahasha za GSM.......ubingwa tutaendelea kuchukua labda Simba agome kuchukua hizo bahashaMwaka ujao sahau kuhusu makombe. Na GSM katoboka hela za bahasha mno hivyo atajiepusha 🤣🤣🤣🤣 na kimataifa kule kama kawaida chaap tu msharudi jangwani. Ukame ule ule🤣🤣🤣🤣🤣
Unashabikia mpira halafu hujui taratibu za usajili wenyeweKwenu nyie mngeweka aisee tunawajua vzr. Na hapo mtu wenu anautaka uraisi ndani ya club mbona kiki kama kina mond tutakoma
Na jana hao watu wenu yanga wemetangaza nini..? 🤣🤣🤣🤣 afu kinabo limekupendezea mkuu mwana utopwinyo.Unashabikia mpira halafu hujui taratibu za usajili wenyewe
Huwezi kumtangaza mchezaji kwamba umemsajili na ikiwa dirisha la usajili halijafunguliwa ww KINABO
SIO lazima uwe shabiki wa mpira,pia unaweza kuwa shabiki wa punyeto
Umesikia ww Mama
Mkuu usikasirike. Ila mtadanganywa mpaka lini.?Sasa mpk Simba anapokea bahasha za GSM.......ubingwa tutaendelea kuchukua labda Simba agome kuchukua hizo bahasha
Vipi nyie mtaendelea kuchukua hizo bahasha au mtaacha kuchukua hizo bahasha za GSM
Mpaka Simba atakapo acha kuchukua bahasha kutoka kwa GSMMkuu usikasirike. Ila mtadanganywa mpaka lini.?
Ww kinabo nenda kampikie Mume wako kwanzaNa jana hao watu wenu yanga wemetangaza nini..? 🤣🤣🤣🤣 afu kinabo limekupendezea mkuu mwana utopwinyo.
Mwaka huu tumeamua tu kuwahutlrumieni maana miaka 4 sio poa ujue. Mlikosa hata kujiamini mpaka mkajiita wenyewe utopolo 🤣🤣🤣Mpaka Simba atakapo acha kuchukua bahasha kutoka kwa GSM
Mumeo nipo hapa naona mke wangu chura yako inakuwasha. Usijali salaua mwanautopolo simba dume afanye yakeWw kinabo nenda kampikie Mume wako kwanza
Na ndio maana mkawa mnachukua bahasha kutoka kwa GSMMwaka huu tumeamua tu kuwahutlrumieni maana miaka 4 sio poa ujue. Mlikosa hata kujiamini mpaka mkajiita wenyewe utopolo 🤣🤣🤣
Mlihonga vilaza wa chini watuulie wachezaji wetu kwa butiNa ndio maana mkawa mnachukua bahasha kutoka kwa GSM
Acha tabia ya kupumuliwa kisogoni na wanaume wenzako ww chokoMumeo nipo hapa naona mke wangu chura yako inakuwasha. Usijali salaua mwanautopolo simba dume afanye yake
Na nyie tuliwapa bahasha ili tuwafunge nusu fainali FAMlihonga vilaza wa chini watuulie wachezaji wetu kwa buti
Inawezekana piaNa nyie tuliwapa bahasha ili tuwafunge nusu fainali FA
Mbona nimesikia kuwa CAF wamesema hadi tarehe 30 majina ya wachezaji wanaoshiriki klabu bingwa na Shirikisho wawe tayari wameshawekwa kwenye system yao?Dirisha la usajili halijafuguliwa mkuu....mbona mnajisahau sana
Subiri dirisha lifunguliwe ndo uwekewe picha za mchezaji akisaini,kinachofanyika sasa hivi ni makubaliano ya mkataba wa awali
Yaani hata huyu Ki Azizi mwenyewe huko Ivory coast ligi bado haijaisha halafu umtangaze
Hivi huwa mnawaza kwa kutumia makalio au?
Yaani unazi wa Simba unakutoa mpk akili
Sijui kama msimu uliopita kuna mchezaji ambaye kasajiliwa Simba pasipo tetesi zake kuvuma kwenye mitandao na magazeti. Inonga, kanoute, Sakho na banda wote tuliletewa tetesi zake. Labda usiri uanzie msimu huu wa usajili
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwamba Flop[emoji23]Yanga tayari imemalizana na mchezaji flop Lazarous Kambole aliyetemwa na Kaizer chiefs
Hata hivyo Yanga ni kama machale yamewacheza kwani wamempa mkataba wa miezi 6 tu huku kukiwa na kipengele cha kumuongezea miaka miwili endapo hatafanya madudu kama aliyoyafanya akiwa South Africa
Kambole ambaye pia amewahi kung'aa ligi ya Zambia akiwa na Zesco katika misimu yake yote miwili akiwa na Kaizer chiefs amecheza jumla ya michezo 46 na kufanikiwa kufunga magoli mawili tu (MAWILI TU) kitu kilichowafanya Kaizer Chiefs kumuonyesha mlango wa kutokea na ndipo klabu Kongwe zaidi Tanzania (Yanga) ikajiokotea dodo kwenye mwarobaini
SakhoTafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.
InongaTafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.