changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kibe DenisTafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibe DenisTafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.
KanouteTafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.
Ducan NyoniTafuta hizo tetesi utuwekee hapa screenshot.
BM bado mzuri atatusaidia sana msiomkubali mnakosea this is football na hayo hutokea sana ktk maisha ya sokaBernard Morrison ameshasaini mkataba wa awali wa kujiunga na Yanga. Na taarifa zinaonyesha ni chaguo la Prof Nabi!
Mashabiki tusiomkubali huyu mvuta bangi sijui tutazificha wapo sura zetu msimu ujao! I wish abadili maamuzi dakika za mwisho, halafu abakie huko huko kwao.
Ducan NyoniView attachment 2261956
Kizibo Mmoja [emoji23]Hawa jamaa wanajiona timu yao na uongozi wao upo smart sana. Nilitaka kumdharau kwa kukaa kimya ila nikaghairi nikaona wacha nimuoneshe ujinga wake ulivyo.
Kizibo Mmoja [emoji23]
Uachage Ubishi Ona Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Achana na mimi[emoji23]
Huyu msimu huu 2021/2022 amechezeshwa mechi 6 tu, goli 1, assist hakuna. Ni miongoni mwa wachezaji saba huru (sio kutoka Kaizer Chiefs) walioachwa na Kaizer Chiefs waende popote wanapotaka bureStriker Lazarous Kambole wa Zambia aliyekuwa anachezea Kaizer Chiefs naye ameshasinya miaka 2 Jangwani!
Dah! Yanga ya msimu ujao, itatisha sana aisee!
Klabu ya Mamelod Sundown inakaribia kunasa saini ya mshambuliaji machachari JOHN BOCCO kutoka klabu ya Simba Sc ya nchini Tanzania.
Angalau ningekuona una kiakili akili kidogo ungesema YELLOW, GREEN & BLACK!Em Kaangalie Video Ya Goli La Feisal Tar 28 May Pale CCM Kirumba Alikuwa Amevaa Jezi Za Rangi Gani