Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

pia utumika kwa katu wenye matatizo ya kupungukiwa damu mara kwa mara.
Chukua matunda yake katakata chemsha had yachemke vizuri then subiria ipoe alaf uwe unakunywa
 
Mungu ana makusudi makubwa Sana kutuwekea miti na mimea katika maeneo yetu. Mimea ni tiba, ni chakula ni kinga. Watu wanarogwa au kuwa masikini au mabalaa au mikosi sababu awataki kutafuta maarifa.

Pana mimea ukiitumia ukukinga na maradhi ya kibaiologia na maradhi ya kiroho yaani ukiitumia utougua ugonjwa wowote maishani mwako na wala kurogwa au kudhurika na nguvu za giza kwa maana ya wachawi, mikosi, laana mabalaa nk. Utakuwa na kinga zote za kimwili na kiroho utaishi uzee mwema.
 
Mfano muarobaini utibu magonjwa 40,mlonge utibu magonjwa 120, kivumbasi na mla ngamia utibu magonjwa yote ya kiroho, ukichanganya majani ya mimea hii ukasaga na kupata unga ukawa unatumia kwenye uji, maji, juice au kinywaji chochote unakuwa na antbody ya kutosha dhidi ya ugonjwa wowote wa kibaiologia na magonjwa yote ya kichawi yaani mchawi na jini Ili wakupate wafanye Kazi hasa.

Ukiongeza imani yako kwa Mola wako sahau kabisa kurogwa au kuumwa ugonjwa wowote. Miti mingi Ina nguvu za kiroho na kibaiologia jiulize kwann watu wa asia upenda Sana kula vitunguu swaumu. Kitunguu saumu na ndimu ni tiba tosha za magonjwa ya kimwili na kiroho.

Ndimu sijui limao eti linakausha damu hizi ni propaganda za wachawi na viwanda vya madawa ambavyo watu wasipougua watafunga viwanda vyao pia wachawi hawawezi kukudhuru yaani Yale mawimbi ya negative power hayawezi penya kwenye mwili wenye ndimu.
 
Mgomba umrudisha msukule yaani mtu aliyefichwa na wachawi. Mchawi hana uwezo wa kuua mtu bali umficha na kukufanyia kiini macho. Mwenye uwezo wa kuua mtu ni Mwenyezi Mungu pekee na sio kiumbe chochote.
 
Tumia vipande viwili vya mdlasini weka kwenye wallet vikae humo, asubuhi tamka hayo maneno kimya kimya ukiweza na jioni kwa ufanisi zaidi.
Mkuu naomba ufafanuzi, hii inamfaa mwenye duka/biashara au hata mtu anayekwenda kazini kama vile ofisini?
 
We jamaa ni wa hovyo sana wewe halafu mbishi. Kuvamia vamia nyuzi tu kaanzishe wako uuze likitabu lako.
Kitabu nimeshakitoa, lilikuwa jaribio likakatazwa nikaacha. Humu nimekiattach kuondoa ubishi wa nafanya biashara. Afu ata sio changu kipo website ya SUA, na mimi pia nilikuwa nacho kwangu kilitolewa kiroho safi na mwenye nacho hakiuzwi.

Hata hivyo kama upo siriazi unataka kuhifadhi kichwa cha nyani na chumvi ili upewe hela za bure [post yako no467] unadhani utamuelewa yeyote atakayejaribu kukuambia tofauti?
Ila ukifanya utafanikiwa, sio kutokana na nyani ila kitendo cha kuamka asubuhi usokwauso na nyani mkavu laivu, lazima uwe siriazi na raia yeyote katika biashara zako siku hiyo. Utafanikiwa kutokana na ujasiri ila sio sura ya nyani kama sura ya nyani.

Sasa si uwe jasiri tu mwenyewe uwe mjasirinamali hapohapo, imani na ujasiri wako vitakuponya.
 

Attachments

#Mshana_jr karibu sana tupate nukuu na ujuzi kutoka kwako juu ya masuala ya tiba za mimea, usipite kimyakimya mkuu
 
Kuna niliowasikia wana shida za miguu hapa,
°Tafuteni saum
°chumvi ya mawe kidogo
°mafuta ya zaituni
CHANGANYENI.
Wakati wa kulala usiku chueni miguu yenu KWA KUSIGINIA PAKAA NYAYONI KWA WENGI KABISA, UTAKAPO LALA UKIAMKA LETE JIBU UNANAFUU AU LAA, ENDELEA KWA SIKU 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…