Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mkuu tatizo la meno yote kuuma na kuna mda Hadi fizi zinavimba chanzo ni kipi na tiba ake ipoje.

Ila awali lilianzia meno kupata ganzi ila kwa Sasa imefikia hatua ya meno yote kuuma naomba ushauri wako mkuu.
 
Rahisi kamua maziwa ya nguruwe kunywa, hakika ukiona pombe utasikia kichefuchefu
Kwa mlevi unayetaka kumwachisha pombe unafanyaje? Maana wapo walevi kwa makusudi kabisa hawataki kuiacha na unaona kabisa pombe inamuharibu Saidia hili ndugu!
 
Mkuu tatizo la meno yote kuuma na kuna mda Hadi fizi zinavimba chanzo ni kipi na tiba ake ipoje.

Ila awali lilianzia meno kupata ganzi ila kwa Sasa imefikia hatua ya meno yote kuuma naomba ushauri wako mkuu.
Chukua chumvi mawe punje 5 na mbegu za mlonge punje 20 twanga au saga kisha fanya kama dawa ya meno swakia siku 2 au 3 In ShaA ALLAH tatizo kwishaaa
 
Ahsante.Hapo kwenye tinitus anatafuna majani ya bhange mabichi,sijui nimekuelewa mkuu?
 
Wakuu kuna majani yanaitwa bay leaf mwenye kujua yanapopatikana maana nimeambiwa ni dawa ya matatizo kibao ya kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…