Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mkuu tatizo la meno yote kuuma na kuna mda Hadi fizi zinavimba chanzo ni kipi na tiba ake ipoje.

Ila awali lilianzia meno kupata ganzi ila kwa Sasa imefikia hatua ya meno yote kuuma naomba ushauri wako mkuu.
 
Rahisi kamua maziwa ya nguruwe kunywa, hakika ukiona pombe utasikia kichefuchefu
Kwa mlevi unayetaka kumwachisha pombe unafanyaje? Maana wapo walevi kwa makusudi kabisa hawataki kuiacha na unaona kabisa pombe inamuharibu Saidia hili ndugu!
 
Mkuu tatizo la meno yote kuuma na kuna mda Hadi fizi zinavimba chanzo ni kipi na tiba ake ipoje.

Ila awali lilianzia meno kupata ganzi ila kwa Sasa imefikia hatua ya meno yote kuuma naomba ushauri wako mkuu.
Chukua chumvi mawe punje 5 na mbegu za mlonge punje 20 twanga au saga kisha fanya kama dawa ya meno swakia siku 2 au 3 In ShaA ALLAH tatizo kwishaaa
 
Kwenye jamii sijasikia wakitenganisha, lakini majarida mbalimbali yana tafiti zilizoegemea pote kwenye usikivu na maumivu.....

Wapo walioisoma upande wa kusikia sauti/kengele [tinnitus] wakaja na matokeo kuwa inahusika na usafirishaji wa taarifa [endocanabinoid system]. Hasa kwa kuila bangi CBD. Huyo mwenye usikivu hafifu ntapendekeza apate mboga ya hii kitu

Lakini pia upande wa sikio kuvimba/maumivu maambukizi ndio hapo mafuta yake yanawekwa palepale sikioni. Ikiambatana na tiba nyingine imeleta matokeo mazuri pia.
Ahsante.Hapo kwenye tinitus anatafuna majani ya bhange mabichi,sijui nimekuelewa mkuu?
 
Wakuu kuna majani yanaitwa bay leaf mwenye kujua yanapopatikana maana nimeambiwa ni dawa ya matatizo kibao ya kiroho
 
Back
Top Bottom