Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Wakati natumia io tiba, niendelee kuvaa miwani yangu au niache?
 
Sina hizo changamoto zote, na nilishaenda hospital nikaambiwa suluhisho ni kuvaa miwani Na ndo natumia hadi leo.
Sasa kama njia mbadala naweza kuwa sawa, ntashukuru
Sawa, tafuta mbegu za mti wa macho ya fufu utumie kumeza mbegu moja Kila mwaka.
 
Ndo utuambie hapa ni ipi hiyo
 
Exactly, ndo hizo, unakunywa moja tu, meza na maji bila kutafuna inaondoa tatizo la macho na nikinga kwa mwaka mzima hiyo mbegu moja.
Hizo ni kinga pia hizo zinafarakanisha pia zinafukuzisha mtu yaani zinamatumizi kama yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…