Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani



Kila mtu anapenda hela na utajiri.

Ulishajaribu ikakupa matokeo???

Ingekuwa kila kinachoandikwa kwenye vitabu kinafanya kazi,ningekuwa mchawi/mganga mwenye PhD.

Kuna DUDE linaitwa LUCIFER AND THE HIDDEN DEMONS.

Kuna DUDE linaitwa MAGICK OF ANGELS AND DEMONS.

Kuna DUDE linaitwa WEALTH MAGICK

yote hayo nishavuruga
 
Sawa Mkuu[emoji16]
 
Naombeni msaada mi ni muanga wa punyeto na picha za utupu nmezamilia kuacha nahitaji msaada kutibu shida ya uume mdogo na kuwai kumwaga dawa za asili nina miaka kumi sasa toka nianze nyeto nikiwa form2 uboyzn
 
Pitia Uzi polepole kuna jani lilisha wekwa humu,chukuwa hayo majani changanya na mizizi ya mitula tula chemsha ukitanguliza mizizi hiyo ya mitulatula ikifuatiwa na hayo majani kunywa asb na jioni kikombe cha kahawa.,utapona.
Bro ebu angalia na swali langu chini
 
Mkuu unamaanisha mbegu moja tu Kila mwaka
Ndiyo mbegu moja inaweza kutibu tatizo la macho na kutoa Kinga ya mwaka mzima ila tatizo ni kubwa sana unaweza kumeza moja kwa siku baada ya wiki ukameza tena hivyo hata mara tatu lakini hata hiyo moja ukimeza utaona uponyaji, na ukiwa hauna tatizo lingine linalosababisha macho yasione kama sukari na pressure basi unakuwa umejitibu tatizo la macho.
 
Alikua anatumia kwa kuchemsha majani na kunywa au?
 
Mkuu ni kweli Asante sana. Umebarikiwa Whitney Houston:
Amina,amina.Umebarikiwa nawe pia kwa kunielewa kwa urahisi. Iliwekwa zaburi 143 hapa(sikumbuki nani alituwekea) watu tulikua hatujui kitu wala hatuna kitabu,si nikaenda kuitumia 143,mweh!Kitabu kimekuja kupandishwa hapa naenda kucheki nakuta ilitakiwa nitumie zab 144 kw bible ya kawaida dah!
 

[emoji1434]
 
Unatumiaje unasoma Sura ya Kwanza mstari wa Kwanza mfano zaburi 144;1

au 144 1-.... Unasoma mistari Hadi mwisho wa Sura.

Au ipoje?
 
Unatumiaje unasoma Sura ya Kwanza mstari wa Kwanza mfano zaburi 144;1

au 144 1-.... Unasoma mistari Hadi mwisho wa Sura.

Au ipoje?
Kama kwenye maelekezo hujapewa ukomo we soma sura yote verse 1-mwisho,pia kuna zab nyngne ktk maelekezo nimeona wamesema mf.''read this psalm until.......(kinafuata kilatini hapa)''sas mi sijui kilatin,pengne ndo mstar unaopaswa kuishia huo ila umewekwa kilatin,ila sio zab zote zenye hyo limit, hapa alietupa kitabu atusaidie.Natumai maelekezo ya usome zab husika mara ngapi umeyaona(nakukumbusha tu hapa).
Na zinafanya kazi ukweli jaman.Nimefanyia kaz zab moja humo,matokeo niliyopata yaan siamin macho yangu.
 
Rituals ambazo nimeshuhudia maajabu yake kwa macho yangu live tena papo hapo.

KIVUTA WATEJA KWENYE BIASHARA

BOOM[emoji93][emoji93]..zoom usome
Huu ni uchawi! Watu wengi wanataka kujifunza Amal ya shetani.
 
asante, mimi tayari nilishameza hako ka mbegu
 
mimi bado sielewi, najaribu kupitia na vitabu vingine vinavyofafanua nguvu ya zaburi nipate combination moja matata 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…