Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Matumizi yake yapoje ?
 
Mafuta asili ya nazi yapoje mkuu
 
Ndugu zangu nnashida imeanza juzi tu ila adi Leo ni siku ya 4 napata maumivu makali kwenye njia ya mkojo naumia sana sijui namaliza vipi tatizo hili naombeni msaada kwa anayejua dawa ya tatizo hili.
Tatizo kama hili niliwahi kupata sikujua chanzo lakini nilianza kunywa maji mengi mfululizo kama siku tatu hivi liliisha.
 
Nini Dawa ya maumivi ya Ziwa la mama na pia kuna kuwa na kama uvimbe kwa ndani
 
Nasumbuliwa na mafua makali chanzo nikitumia kinywaji Cha baridi,maziwa,nyama yenye mafuta mengi na pia nikikutana na mazingira yenye mavumbi pamoja na baridi kali, inanitesa sana, msaada wakuu
 
Nasumbuliwa na mafua makali chanzo nikitumia kinywaji Cha baridi,maziwa,nyama yenye mafuta mengi na pia nikikutana na mazingira yenye mavumbi pamoja na baridi kali, inanitesa sana, msaada wakuu
Tumia manjano chemsha kwenye uji mwepes kunywa siku Saba adi 21 utapona.
 
Naomba Dawa ya Tatizo La Mafua Yasiyoisha, Hospitali Baada ya Vipimo wakasema sababu ni nyama za Pua. Shida Ni Katika Kipindi cha Baridi, Sehemu zenye Vumbi au sehemu zenye uchafu sana.
Mkuu mm pia hiyo Hali inanitesa sana nikinywa maziwa,kinywaji Cha baridi Yani nateseka sana, msaada kwa anaejua dawa
 
Asante boss, na kuhusu hyo dawa ya meno ni lazima iwe Colgate au yoyote tu?
 
Habari wakuu.
Naomba msaada wa kujua dawa ya mtu aliyepata Goita / Rovu( kuvimba shingoni ) Atumie nini?
 
Mti unaoitwa Yugiyugi huu hapa:
 

Attachments

2●NYANI: Kuna mtu aliuliza dawa ya utajiri sijui Kizibo fanya hivi ni mjarabu hii tafta nyani kata kichwa weka chumvi puani mdomoni masikioni na shingoni ulipokata kusudi isinuke ..weka kichwa hiko chumba maalum na uwe walala hapo ili ukiinuka usingizini asubuh basi cha kwanza kukiona ile ni uso wa hiko kichwa cha nyani kabla hujawaona wanadamu Inshallah kwa siku tu baada ya hapo kama si huyo huyo ndani basi nje utakutana na mtu na atakupa hela au atakwambia nishikie mzigo wangu hata ikiwa ni ktk usafiri halaf atapotea kiajabu na kukuachia mzigo huo..2016 iliwork kwa jamaa mmoja baada ya hapo mwenyewe nilitafta kichwa cha nyani sijafanikiwa kukipata.emagin unampa mtu elim anafanikiwa wew unabaki ulivo [emoji23][emoji23][emoji23]

Ubongo wake nyani na ubongo wa fisi asikwambie mtu hii ni tiba ya kichaa kilichoshindikana ni kufukiza tu...[/QUOTE]

Kichwa Cha nyani!! tuwasiliane mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaa exactly [emoji817]!! Umeupata wapi huu mti mkuu?
Mkuu, Imejiotea yenyewe maporini huku. Huku kwetu mti huu unaogopwa sana kwani utomvu wake ukikudondokea kwenye ngozi utawashwa sana na ole wako utomvu wake ukuingie machoni - timbwili lake ni balaa. Lazima ukamwone daktari
 
Mkuu, Imejiotea yenyewe maporini huku. Huku kwetu mti huu unaogopwa sana kwani utomvu wake ukikudondokea kwenye ngozi utawashwa sana na ole wako utomvu wake ukuingie machoni - timbwili lake ni balaa. Lazima ukamwone daktari
Huo utomvu ni dawa ya chunjua, huwa unapakwa palepale kwenye chunjua na sio sehemu isiyohusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…