Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

WAKUU MSAADA
 
Mkuu kwa mmi bnafsi namjua mtu mwenye dawa huo lkn yupo mwanza kawatibu wengi niliowapeleka mimi au kuwaelekeza ni mbibi
 
Mkuu kwa mmi bnafsi namjua mtu mwenye dawa huo lkn yupo mwanza kawatibu wengi niliowapeleka mimi au kuwaelekeza ni mbibi
Mm sio mgonjwa nlitaka saidia jamii yangu tu mwaka huu tumezika vijana 8 survey kwa ulevi
 
[emoji23][emoji23]tafta location nzuri ya biashara
 
Habari wakuu.

Ninatafuta dawa moja inaitwa lisubata mizizi yake.

Nasikia inaota sana kanda ya ziwa mikoa ya Mwanza, shinyanga na Geitwa msenye Access ya kuipata tafadhali ani pm ama anisaidie hapa kwa faida ya wengi.

Natanguliza shukrani nyingi sana.
 
Kwa Wale wanajamvi wanaopoteza hela yao kutafuta dawa ya kukuza maumbile, nitakuja kuwapa code hapa...

Ingawa ni vyema utumie ukiwa na tatizo hilo kweli usifanye tu alimradi umefanya

mkuu hiyo code umeshatoa tayari?
 
Njia rahisi ya kuondoa tatizo hilo ni kutafuna karafuu mara kwa mara au chukua nusu kijiko cha unga wa karafuu weka kwenye maji ya vuguvugu kisha kunywa. Fanya hivo kutwa mara mbili kwa siku 5 hadi 7 tatizo litaisha kabisa

karafuu ipi mkuu, iliokauka au mbichi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…