Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Wataalamu naomba kufahamu dawa madhubuti ya ngiri changa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAKUU MSAADAWataalamu ninaomba formula au dawa ya mtu kuacha pombe .Nia yangu nikijua niitengeneze niwasaidie vijana wanaoumiza sana familia zao kwa ulevi.naambiwa ipo mitishamba ambayo mtu anaacha kabisa pombe.Tatizo hawa vijana ni hohe hahe hawana hela za kuona waganga wakubwa wapone .
Mkuu kwa mmi bnafsi namjua mtu mwenye dawa huo lkn yupo mwanza kawatibu wengi niliowapeleka mimi au kuwaelekeza ni mbibiWataalamu ninaomba formula au dawa ya mtu kuacha pombe .Nia yangu nikijua niitengeneze niwasaidie vijana wanaoumiza sana familia zao kwa ulevi.naambiwa ipo mitishamba ambayo mtu anaacha kabisa pombe.Tatizo hawa vijana ni hohe hahe hawana hela za kuona waganga wakubwa wapone .
Mm sio mgonjwa nlitaka saidia jamii yangu tu mwaka huu tumezika vijana 8 survey kwa uleviMkuu kwa mmi bnafsi namjua mtu mwenye dawa huo lkn yupo mwanza kawatibu wengi niliowapeleka mimi au kuwaelekeza ni mbibi
Mkuu unatibu UTI sugu? TASLIMA:Chemsha majani pamoja na mizizi yake then kunya ile juice asubuhi na jioni kwa wiki tuu
Mkuu hapa fanya msaada.. Hili swala ni zito sana sana.. Au nije PM mkuuMkuu kwa mmi bnafsi namjua mtu mwenye dawa huo lkn yupo mwanza kawatibu wengi niliowapeleka mimi au kuwaelekeza ni mbibi
Mkuu ukitaka namba mi ntakpa tu haina neno umtafute huyo mbibiMkuu hapa fanya msaada.. Hili swala ni zito sana sana.. Au nije PM mkuu
Nipo PM mkuu
[emoji23][emoji23]tafta location nzuri ya biasharaAnaejua dawa ya biashara hasa kuvuta wateja dukani ashee nasi au aje pm.
Nipo tayari kuchangia kiasi kidogo kulipa wema wako utakaokuwa umenifanyia. Kikubwa iwe dawa ya uhakika.
Au kama wewe ni mfanyabiashara wa duka na unajua mambo fulani fulani ya kuvuta wateja naomba uje pm tubadirishane maarifa. Naweza kukupa kitu amazing sana
Maziwa ya nguruwe ni kibokoWataalamu ninaomba formula au dawa ya mtu kuacha pombe .Nia yangu nikijua niitengeneze niwasaidie vijana wanaoumiza sana familia zao kwa ulevi.naambiwa ipo mitishamba ambayo mtu anaacha kabisa pombe.Tatizo hawa vijana ni hohe hahe hawana hela za kuona waganga wakubwa wapone .
Low sperms count for men:-
Saga papai bichi na mbegu zake weka na maji safi kiasi uwe unatumia mchanganyiko huu asb na jioni baada ya siku 30 utapata matokeo yake.
Kwa Wale wanajamvi wanaopoteza hela yao kutafuta dawa ya kukuza maumbile, nitakuja kuwapa code hapa...
Ingawa ni vyema utumie ukiwa na tatizo hilo kweli usifanye tu alimradi umefanya
Njia rahisi ya kuondoa tatizo hilo ni kutafuna karafuu mara kwa mara au chukua nusu kijiko cha unga wa karafuu weka kwenye maji ya vuguvugu kisha kunywa. Fanya hivo kutwa mara mbili kwa siku 5 hadi 7 tatizo litaisha kabisa
Huu muhogo tunauchukulia poa kumbe una ma balaa hivi.
Tiba ya korodani mmoja kuwa chini