Kama imeshaanza kujitokeza nje wahi mapema medical naona siku hizi kuna tiba via mionzi.Dawa ya goita ya ndani kwamwanaume ni ipi.. goita imeotokana na hormones kuwa nyingi amabayo imesababisha tezi kuwa vijinundunundu vingi
Asante japo mwani wengine huwavuruga na kutapika kweli kweli.-Mlonge
-Mwani
-Amla
-Beetroot Juice
-Celery
-Pearsly
-Corriender
-Cayenne pepper
-Zingatia vyakula ulivyoshauriwa
-Tumia Himalayan Salt mbadala wa hii nyeupe tuliyozoea
Kuna mbegu zinaitwa HARMAL unachemsha maji kisha unga wake unachukua kijiko kimoja cha chai unakoroga na kunywa siku 40 asubuhi tu.Naomba kuuliza , vp kuna dawa ya mitishamba inayoweza kutibu mtoto tundu kwenye moyo, tofauti na operation?
Mkuu na dawa ya P.I.D kwa akina mama.DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO TESTED
- maziwa nusu lita,
-yai og/ kwa maana la kienyeji
-asali mbichi vijiko viwili.
Changanya vyote uwe unakunywa asubuhi na jioni kwa siku 14.
Dawa hii ni nzuri mnoo mnoo.
Kaathirikaje?Mkuu na dawa ya P.I.D kwa akina mama.
Majibu yanaonyesha ana fungus, na Pid,. Ila changamoto zaidi alikuwa anatumia njia ya uzazi wa mpango( kijiti) na siku zake za mwezi zinabadilika badilika,Kaathirikaje?
Madhara ya vijiti kuyahimili huwa shida sana.Majibu yanaonyesha ana fungus, na Pid,. Ila changamoto zaidi alikuwa anatumia njia ya uzazi wa mpango( kijiti) na siku zake za mwezi zinabadilika badilika,
1
Mkuu umeongea lugha zenyewe kabisa. Asante .Madhara ya vijiti kuyahimili huwa shida sana.
Mizizi ya kibaazi pori na mizizi ya mdulele anywe siku 14 asubuhi na jioni.
Afanye hijama/chuku mgongoni ili atoe damu chafu itasaidia kuweka hedhi kukaa sawa..
Halafu rudi medical kupata antibiotic yoyote itafanya kazi..
Kibaazi pori/kimbaazi poriMkuu umeongea lugha zenyewe kabisa. Asante .
2. Kibaazi ndo mbaazi? Mdulele ndo ndulele?
2.kufanya hijama/chuku ndo kufanyaje?
Naomba kuongezewa ujuzi
MAGICAL POWER[ATTACH type="full"]3397989[/ATTACH]Tuendeleee n mwingineFAHAMU KIVUMBASI NA MIUJIZA YAKE
kivumbasi ni memea jamii ya mints yaan Basil. Huu mmea una miujiza mingi ila kwa leo nitatoa mmoja kwanza itakapo itajika tutaendelea.
Huu mmea huweza kutumika kama First Aid ( Huduma ya kwanza kwa mgonjwa au aliyepata ajali) kwa mgonjwa wa kifafa huweza kumzindua kutoka kwenye kupoteza fahamu na hatimaye kuzinduka kwa kumnusisha majani yake yakiwa mabichi/ fresh puani.
Asante SANAKibaazi pori/kimbaazi pori
Mdulele=ndulele=nyanya pori=ntunguje
Hijama=Chuku= ama kwa kuweka glass ya moto sehem ya mwili au kuchanja na kiweka glass au pembe ya mbuzi.
Nowdays kuna clinic za kikorea zilizomo Dar wanafanya kwa kuchoma visindano vingi mwilini kutoa sumu ndo hiyo sasa.
Body/afya ya physical beingTuendeleee n mwingine
Tumia mashona nguo yaliyosagwa na kuchemshwa na maji moto ila haipendi bia na kutomba tomba maana unakua unaharibu gut bacteria hivyo inakuwa rahisi kwa mdudu huyu kuji attach kwenye tumboWakuu naombeni tiba ya kienyeji ya ugonjwa wa H.PYLORI SUGU nimehangaika hospital kila nikipima ninayo