mbota
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 1,054
- 585
Nakipandisha soon.
Mkuu usisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakipandisha soon.
Ukikipata basiMkuu usisahau
Ukiusoma Uzi vizuri ilishawekwa humu.Tiba ya asili ya UTI jamani nishamtumia mke wangu midawa ya kizungu hadi nimechoka.
mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja. Mnipe dawa isiyo na madhara kwa first born wangu.mtarajiwa
Nikumbushie.mkuu uzi umetembea kinoma nomaUkiusoma Uzi vizuri ilishawekwa humu.
Manata nguo yapo ainanyingi sana mkuu,kila mtu ameelewa hyo dawa kutokana na aina inayopatkana ktk eneo alipo,kuondoa utata,tunaomba utusaidie picha mkuu.Ukiusoma Uzi vizuri ilishawekwa humu.
Ukiusoma Uzi vizuri ilishawekwa humu.
Naweka!Manata nguo yapo ainanyingi sana mkuu,kila mtu ameelewa hyo dawa kutokana na aina inayopatkana ktk eneo alipo,kuondoa utata,tunaomba utusaidie picha mkuu.
Naweka!
Kuna mdau kanifurahisha kweli kuna zaburi nimempatia hakika amepata nafuu kubwa na ameshukuru kweli,nimefurahi sana Kwa kweli hasa Kwa kupata formula za kutibia kikristo na watu wakapona, am so so happy!
Atumie mchaichai kwa wingi na kunywa maji mengiTiba ya asili ya UTI jamani nishamtumia mke wangu midawa ya kizungu hadi nimechoka.
mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja. Mnipe dawa isiyo na madhara kwa first born wangu.mtarajiwa
Kasha la Nyigu nidawa yake.HABARI MKUU....DAWA YA MTOTO ANAYEDONDOSHA UDENDA KWA KIASI KIKUBWA NI NINI??
Muegeya haya yanapatikana wapi?ina jina lingine?Kama kuna mtu ana afya ya kusuasua, mwili uliokondeana, chukua matunda ya muegeya yakaushe kisha saga na tumie kama lishe kila siku kijiko kimoja cha chakula kwenye uji halafu njoo na majibu yetu hapa mkuu.
Inaishia kuishika TU? Au baada yahapo Kuna kitu kinafuata?Matumizi mazuri zaidi ya chumvi mawe hata kwa mgonjwa aliyeathirika sana na manguvu ya giza, ishike kwenye viganja vyake, elekea magharibi zungumza maneno haya mara 66, MAZJALIN, BAZJALIN. Uone maajabu ya ajabu, infact ni njia rahisi ya kutengeneza maji nathubutu kusema ni zaidi ya maji ya upako.
Kwa ulcers unafanyaje?Kwa lugha ya kisayansi inaitwa Euphorbia hirta. Na ni dawa hii hii inamaliza tatizo la ulcers.
Mkuu.Wanasema ukichukua unga wa kokwa la embe kwa mwanamke akiwa ananawa asubuhi na jioni kila kwa maji ya vuguvugu yenye huo unga uke utabana baada ya muda mfupi tu
Kwa mwanaume mwenye dhakari ndogo: pakaaa kwa kuuchua uume na mchanganyiko wa unga huo na mafuta ya ng'ombe kila ukienda kulala usiku, utaona matokeo yake kwa uwezo wa Mungu
Hizi ndulele zinapatikana wapiKabla ujasafiri au kupanda basi ukichukua ndulele ukaweka mfukoni au kwenye bag hio gari unalosafiri nalo halionekani kwenye radar za wale wapumbavu watoa kafara za ajali ya mabus. Ukiwa ndani ya bus huku mnasafiri ukaomba dua au ukafanya maombi hata ya kimoyo moyo mtafika salama, mtu yeyeto mwenye nguvu ya Mungu au ya dhidi ya nguvu za giza akiwa kwenye bus wachawi hawawezi sababisha ajali wanakuwa awalioni kwenye radar zao, na hata wakifanikiwa kuleta ajali utatoka salama