Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Tiba ya asili ya UTI jamani nishamtumia mke wangu midawa ya kizungu hadi nimechoka.

mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja. Mnipe dawa isiyo na madhara kwa first born wangu.mtarajiwa
 
Kuna mdau kanifurahisha kweli kuna zaburi nimempatia hakika amepata nafuu kubwa na ameshukuru kweli,nimefurahi sana Kwa kweli hasa Kwa kupata formula za kutibia kikristo na watu wakapona, am so so happy!

Mkuu hicho kitabu title yake ni nini na author pia tukisake
 
Msaada wa dawa ya genitals warts ( vinyama vinavyoota sehemu za siri)
 
Tiba ya asili ya UTI jamani nishamtumia mke wangu midawa ya kizungu hadi nimechoka.

mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja. Mnipe dawa isiyo na madhara kwa first born wangu.mtarajiwa
Atumie mchaichai kwa wingi na kunywa maji mengi
 
Kama kuna mtu ana afya ya kusuasua, mwili uliokondeana, chukua matunda ya muegeya yakaushe kisha saga na tumie kama lishe kila siku kijiko kimoja cha chakula kwenye uji halafu njoo na majibu yetu hapa mkuu.
Muegeya haya yanapatikana wapi?ina jina lingine?
 
Matumizi mazuri zaidi ya chumvi mawe hata kwa mgonjwa aliyeathirika sana na manguvu ya giza, ishike kwenye viganja vyake, elekea magharibi zungumza maneno haya mara 66, MAZJALIN, BAZJALIN. Uone maajabu ya ajabu, infact ni njia rahisi ya kutengeneza maji nathubutu kusema ni zaidi ya maji ya upako.
Inaishia kuishika TU? Au baada yahapo Kuna kitu kinafuata?
 
Habari zenu wakuu,ndg zangu mwenye kujua tiba asili za miwasho tusaidiana mana imekuwa mateso sasa,sipati hutulivu hata kidogo kutwa kujikuna hasa nyakati za usiku hadi niupate usingizi n kipengele
 
Wanasema ukichukua unga wa kokwa la embe kwa mwanamke akiwa ananawa asubuhi na jioni kila kwa maji ya vuguvugu yenye huo unga uke utabana baada ya muda mfupi tu

Kwa mwanaume mwenye dhakari ndogo: pakaaa kwa kuuchua uume na mchanganyiko wa unga huo na mafuta ya ng'ombe kila ukienda kulala usiku, utaona matokeo yake kwa uwezo wa Mungu
Mkuu.
Huu unga wa kokwa unaupataje kwenye kokwa hilo?
Ahsante.
 
Kabla ujasafiri au kupanda basi ukichukua ndulele ukaweka mfukoni au kwenye bag hio gari unalosafiri nalo halionekani kwenye radar za wale wapumbavu watoa kafara za ajali ya mabus. Ukiwa ndani ya bus huku mnasafiri ukaomba dua au ukafanya maombi hata ya kimoyo moyo mtafika salama, mtu yeyeto mwenye nguvu ya Mungu au ya dhidi ya nguvu za giza akiwa kwenye bus wachawi hawawezi sababisha ajali wanakuwa awalioni kwenye radar zao, na hata wakifanikiwa kuleta ajali utatoka salama
Hizi ndulele zinapatikana wapi
 
Back
Top Bottom