Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

IMG_20230227_204308.jpg
 
Nimepitia habari hii Jf watu wengi wamefurahi Rais Dr Samia kuitaja Jf na kuona fahari kubwa.
IMG_20230310_113238.jpg


Sasa tunasahau kuwa Muumba na muweza wa yote Allah aliyetakasika na yeye huwa anawataja watu na kuwasifia mbele ya kundi la wabora nao ni Malaaika ,je kuna ufahari wowote unaozidi huu wa kutajwa kwa kisifiwa na Mola mlezi mwenye utukufu wote ?

Ni watu gani hao anaowataja na kujisifia kutokana na hao ? jibu ni watu ambao humkumbuka mara kwa mara kwa kumtaja ,kukaa katika vikao vya kheri/kielimu n.k
images.jpeg


Muda mwingi tunaupoteza mitandaoni bila faida ,vijiweni na katika mambo mengine huku tukipuuzia utajo wa Allah kituambacho ni rahisi ukikosa kutenga muda wa fatagha hata njiani unaweza kusema Alhamdullihal,SubhanaLlah pamoja na adhkar nyinginezo ...
 
Akifanya Shekhe au mtu yeyote sio kigezo cha usahihi wa jambo kuwa mbona fulani anafanya bali usahihi ni lilolothibiti kwa dalili.
255682026755_status_4d06fe1ca08842178f5592634a3fd455.jpg
 
Back
Top Bottom