Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani.Mama Samia teua katibu mkuu Wa CCM toka Zanzibar nakuomba Tafadhali usiteue toka bara
Wewe na kibajaj hamna tofautiMama Samia teua katibu mkuu Wa CCM toka Zanzibar nakuomba Tafadhali usiteue toka bara
Kwani Tanzania bara haina naibu katibu mkuu Wa CCM?Haiwezekani.
CCM Zanzibar ina naibu katibu Mkuu wake, Comrade Dk Abdulla Mabodi.
Mama Samia teua katibu mkuu Wa CCM toka Zanzibar nakuomba Tafadhali usiteue toka bara
Wewe Chadema ya CCM tuachie wenyeweUmeona hawatakuteua ww, sasa unaanza nongwa. Chama la majizi ya kura bana, mko kihilahila tu.
Umeyaleta hapa jukwaani huku ni kwenye ofisi ya ccm? Ungetaka yajadiliwe na ccm tu ungeyaacha ndani ya vikao vyenu vya ccm.Wewe Chadema ya CCM tuachie wenyewe
Kwani Bashiru na Polepole aka Chakubanga wao wanasemaje?Wewe Chadema ya CCM tuachie wenyewe
Kwhy hii jf mmiliki ni mwanalumumba auWewe Chadema ya CCM tuachie wenyewe
Huna pwenti na ni mbaguzi wa kunuka. Katibu wa CCM anapaswa kuteuliwa toka Tanzania bila kujali atokeako. Kesho mtaanza kupendekeza hata huko Zanzibar asitoke Pemba. Baada ya hapo mtahoji jinsi, dini hata umri mlivyokuwa wapumbavu wa kuchusha. Atoke Zanzibar hata kama ni calf siyo? Peleka huko ushamba na upumbavu wako wa kibaguzi.Mama Samia teua katibu mkuu Wa CCM toka Zanzibar nakuomba Tafadhali usiteue toka bara
Hata ccm bara wana naibu pia Comrade MpogoroHaiwezekani.
CCM Zanzibar ina naibu katibu Mkuu wake, Comrade Dk Abdulla Mabodi.
Sasa ateuliwe tena wa huko awe KM basi CCM bara itakosa nafasi, ukizingatia tayari (anasubiri kuthibitishwa tu) Mwenyekiti ni kutoka huko..
Kwanini asitoke bara?Mama Samia teua katibu mkuu Wa CCM toka Zanzibar nakuomba Tafadhali usiteue toka bara
Mwenyekiti kutoka bara na Katibu Mkuu kutoka bara, ina maana Zinzibar ilikosa nafasi?Haiwezekani.
CCM Zanzibar ina naibu katibu Mkuu wake, Comrade Dk Abdulla Mabodi.
Sasa ateuliwe tena wa huko awe KM basi CCM bara itakosa nafasi, ukizingatia tayari (anasubiri kuthibitishwa tu) Mwenyekiti ni kutoka huko..
Basi usiyalete humu ndani malizanieni LUMUMBA huko ukiyaleta humu sisi tunakuwasha tu afu tunakupa za uso kama kawaida yetuWewe Chadema ya CCM tuachie wenyewe
Na anaweza kuwa ni yeye!Wewe na kibajaj hamna tofauti
Katiba ya Zanzibar kifungu cha kwanza inatamka wazi kuwa Zanzibar ni nchiZanzibar sio nchi!