UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Unakichaa sana nikiamua kuolewa leo naolewa shida yenu humu mnahandana eti da maua asichukue danga au mpenzi wangu basi mnabadilisha id mnaanza matusi yenu aisee mmechoka na mmezeeka sana
Mwanamke hana jeuri ya kuchagua ataolewa lini na nani. Ukiona mwanamke anaolewa jua kuna mwanaume ambaye amemuona ana vigezo akamchagua na kuamua kumuoa kinyume na hapo hakuna mwanamke ataolewa wanaume wakiona ndoa haina umuhimu kwao hata hao wanawake wakiwa wazuri vipi.
 
We bado hayajakukuta. Naona uzungu mwingi, subiria muda ufike utaelewa kwann hizi nyuzi zipo nyingi.
 
We bado hayajakukuta. Naona uzungu mwingi, subiria muda ufike utaelewa kwann hizi nyuzi zipo nyingi.
Mkuu nishavuka level za kutishika na hizo kauli watishieni hao hao wanawake desperate na wenye low self esteem, hakuna cha uzungu wala uhindi amkeni things are now different on terra firma, wanawake wengi siyo wale mliowazoea it is either you get over it or you keep complaining till infinity
 
Hivi inawezekana mwanamke wa umri wa miaka 30 kuwa hajawahi shika ujauzito maisha yake yote? [emoji848]

Vipi kuhusu kutoa? [emoji848]
Kwa jinsi wanapigwa miti si rahisi, hao watoaji ni walewale tu
 
Ahahaaaaa
 
Huyo shangazi unaesema hakua na bahati ya kupata wanaume, si kweli, ni kwamba alikuwa anawakataa wanaume waliokuwa na nia ya kumuoa The mission 2017
 
Mimi huwa nasema Mungu hukupa kile unachotamani...kama ulitamani familia mume na wtt wako anakupa...

Kuna wengine kupitia makuzi yao na malezi yao walijiapia kuwa hawatakaa waolewe kisa wameona manyanyaso fulani kupitia maisha yao nadhani hupata kile walichojinenea...

Wengine ni kukosa tuu bahati..
Wengine wanalogwa na ndugu zao wenyewe yanii...japo mtasema ni imani za ajabu ila believe me kuna ushirikina mkubwa inapokuja swala la mabinti kuolewa...

Wengine ni vile wamejiweka kwny jamii inayowazunguka kuolewa ni ngumu .. hao watapata wachumba wakihama hilo eneo..tena wafanye juhudi wasirudi na wachumba zao kabla hawajaoana la sivyo watarushiwa ndege wao...
 
ndoayako unamiaka mingapi mrembo
 
Inasikitisha sana
 
Nyinyi mlioolewa muendelee kuwaelekeza ambao hawajaolewa nini wafanya maana umri unasonga tu wanakuwa mishangazi wanaenda kwenye ubibi
Inategemea sasa na mtu huwezi mlazimisha..mm nilikua napenda sana kuolewa jamani πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…