Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

The same to you brother ! One love,[emoji173]
 
Babu narudi kitandani[emoji23]
Afazali
 
Nawatakia Christmass na mwaka mpya mwema members wote wa JF... ..
-Simba sc wotee mashabiki kindakindaki

-Wale watani zangu wa Yanga kuna wengine tulipishana hoja na kutoleana maneno ya shombo ila ki ukweli mlinianza wenyewe kuni attack personaly 😀 😀 😀 basi tuanze mwaka vyema tuzidi kushabikia timu zetu vizuri na utani uendelee

-kuna hawa members nimetokea tuu kuelewana nao kupitia maandishi niwatakie heri pia ipo siku tutaonana kuna Dj Khalid Antonnia, Shunie Makiwendo ,Glenn mzabzab bila kumsahau dr namugari .
$$$Merry Christmas and Happy new year$$
In Advance......cheeersss

Tukutane new yr nalog off kidogo
 
Same to u dear....vipi leo tunatoka salama huko kagera?
 
Barikiwa sana rafiki mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…