Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Ahsante Dear wangu kipenzi...

Uwe na Christmas njema na Mwaka mpya 2023 wenye Mafanikio tele Beshti.

Makii anakupenda..
 

ODM aka Big Sam Originaleee......

Merry Christmas 🎅🎄 and Happ a New Year 2023.
 
Nakazia apa bila kusahau wachumba hawa
Jemima Mrembo To yeye Chakorii
 
Apo kwenye wachumba 30 ongeza sifuri 3 wawe wachumba afutatu
 
😂😂😂tupo kukoma aisee,watoage na hela...siyo kutuzuilia ridhiki na kutuacha😁
 
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
Nawatakia Kheri ya sikukuu na Mwaka Mpya wana Jf wote.

Lakini kwa Upekee kabisa namtakia Kheri Binti yangu Kipenzi Rumaiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…