Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwanini?We jamaa naona unataka kulogwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?We jamaa naona unataka kulogwa
Heri ya krismasi na mwaka mpyaMy wangu ......
Ahsante Dear wangu kipenzi...Nawatakia Christmass na mwaka mpya mwema members wote wa JF... ..
-Simba sc wotee mashabiki kindakindaki
-Wale watani zangu wa Yanga kuna wengine tulipishana hoja na kutoleana maneno ya shombo ila ki ukweli mlinianza wenyewe kuni attack personaly [emoji3] [emoji3] [emoji3] basi tuanze mwaka vyema tuzidi kushabikia timu zetu vizuri na utani uendelee
-kuna hawa members nimetokea tuu kuelewana nao kupitia maandishi niwatakie heri pia ipo siku tutaonana kuna Dj Khalid Antonnia, Shunie Makiwendo ,Glenn mzabzab bila kumsahau dr namugari .
$$$Merry Christmas and Happy new year$$
In Advance......cheeersss
Tukutane new yr nalog off kidogo
Happy New year kwa mke wa ujana wangu, tuliofunga ndoa siku ya ubatizo na kupata mtoto siku ya kipaimara Sky Eclat
Heri ya Christmas na Mwaka mpya kwa partner wangu wa mahaba bin sukari ya uzeeni yaliyoshindikana Kasie binti mahaba matata
Merry Christmas kwa mjukuu mtiifu nayesubiria kuchukua mahari makubwa kama bado ana bikira Joanah
Heri ya mwaka mpya kwa wapinzani wangu wote wasionitakia mema na wanaoharibu mishe zangu za ukaguzi....
Happy birthday ya Yesu kwa waungwana wote wananigongea ma-LIKEs kwenye posts zangu hata kama ni za kibwege
Nawatakia kifo chema wote wanaonigongea Dislike kwenye post zangu hata zile nilizotumwa na roho mtakatifu kuziandika
Nawatakia maisha marefu wajukuu wangu wote, wazee wenzangu, wala kitimoto wenzangu, wanywa K Vant wenzangu na watakatifu wenzangu
Nawaombea maisha marefu wachuchu wote watakaokubali kwa hiari yao kuja kwangu ili niwakague...
Babu narudi kitandani
Nakazia apa bila kusahau wachumba hawaNawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya mwamba
Extrovert Mshana Jr Kalpana Victoire Bujibuji Simba Nyamaume mzee wa busara nakukubali sanamkuu
Pmj na Wana wengine wengi mno mnamchango mkubwa Sana kwangu kunibadilisha fikra zangu nawashukuru member wote billa kumsahau
Senior ,kamanda mkuu ,founder mkuu
@melo
Nawapenda San tuko bega kwa bega Hadi mwisho wa duniaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wachumba aftatu wewe si mzima wallaiApo kwenye wachumba 30 ongeza sifuri 3 wawe wachumba afutatu
Wengn tutapostiwa tukifa🙂Nangojea wa kuniwish
❤❤❤❤😘
Nawatakia Kheri ya sikukuu na Mwaka Mpya wana Jf wote.Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
Momah Nipo nipoEmbu ngoja nitafute rafiki ili mwakani niwishiwe[emoji23][emoji23]
Pamoja❤❤❤❤😘