Nakutakia kheri ya sikukuu na Christmas na mwaka mpya...Mungu wetu aliemwema akakutangulie..2023 ikawe yenye kheri kwako na ukapate kibali kwenye kila eneo la maisha yako.Momah Nipo nipo
Asante Sana Moma....Ubarikiwe Mjini na Mashambani Mungu akuzidishe kwa Viwango na baraka nyingi hata za kusukwa sukwa na kumwagikia Nakupenda Sana...InshaAllah 2023 ikawe ya Kheri Nyingi kwako MamaNakutakia kheri ya sikukuu na Christmas na mwaka mpya...Mungu wetu aliemwema akakutangulie..2023 ikawe yenye kheri kwako na ukapate kibali kwenye kila eneo la maisha yako.
Furahia mpendwa wangu..mapenzi tele kwako[emoji7]
This one Made my Day...Shukrani sana MkuuAaweee[emoji3589]
Ahsante Sana mpendwa wangu
Ubarikiwe wewe na familia yako.[emoji7]
Same to you babyBabe wangu Its Pancho [emoji7][emoji7].
Heri ya sikukuu babe.
Nashukuru nimezipokea salamu.Heri ya sikukuu ya Chrismass na mwaka mpya@Mshana Jr Extrovert Chizi Maarifa Mbwa dume Low IQ @rhonda@Bujibuji Simba Nyamaume.
Thnxs brother,na kwako pia.
Thanks Brother ..
Asante mkuu,na kwako pia.Thanks Brother ..
Heri ya Christmas