Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Nakutakia kheri ya sikukuu na Christmas na mwaka mpya...Mungu wetu aliemwema akakutangulie..2023 ikawe yenye kheri kwako na ukapate kibali kwenye kila eneo la maisha yako.Momah Nipo nipo
Furahia mpendwa wangu..mapenzi tele kwako😍