Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Momah Nipo nipo
Nakutakia kheri ya sikukuu na Christmas na mwaka mpya...Mungu wetu aliemwema akakutangulie..2023 ikawe yenye kheri kwako na ukapate kibali kwenye kila eneo la maisha yako.
Furahia mpendwa wangu..mapenzi tele kwako😍
 
Nakutakia kheri ya sikukuu na Christmas na mwaka mpya...Mungu wetu aliemwema akakutangulie..2023 ikawe yenye kheri kwako na ukapate kibali kwenye kila eneo la maisha yako.
Furahia mpendwa wangu..mapenzi tele kwako[emoji7]
Asante Sana Moma....Ubarikiwe Mjini na Mashambani Mungu akuzidishe kwa Viwango na baraka nyingi hata za kusukwa sukwa na kumwagikia Nakupenda Sana...InshaAllah 2023 ikawe ya Kheri Nyingi kwako Mama
 
8925682d-91d4-473d-8bcb-b514257af4ca.jpg

IMG_1480.jpg
 
Back
Top Bottom