DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,478
- 32,729
Yuko njombe ndani ndani hukoNaomba basi namba ya yule mganga wako kaka.
Yuko njombe ndani ndani hukoNaomba basi namba ya yule mganga wako kaka.
Uchaguzi ukiisha ntaenda, sahivi waganga wote wana foleni sana. 😁Yuko njombe ndani ndani huko
wote wenye imani yako walikufa na wataendelea kufa kizembe kabisa, mtu unampeleka hosp. Ugonjwa unakosekana,utafanyaje ili apone?We muanzisha uzi lzm utakuwa ni mganga tu unatafuta promo humu
Waganga wote wa kienyeji ni bahati nasibu na ni hatari kabisa kwa afya yako.
Corona imemaliza watu waliokuwa wapi?
Maradhi yote yanayojulikana hakuna mganga aliyefahamika kuyatibu KITAIFA zaidi ya shuhuda za mitaani tu.
Nendeni Hospital acheni ujinga.
huyo namba 4 nshawahi kumsikiaHuu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection Za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.
Kikubwa Toa Shuhuda Elezea Location Alipo Mawasiliano sio Muhimu kwa Kuwa watembeaji ni Watu wa Kujiongeza.
Nitaanza mimi.
1. Mganga wa Kwanza Nilikutana Naye kigoma Huko wilaya Ya Kakonko , Alikuwa Mama wa Makamo Mwenye Mguu Mbovu , Yule Mama Alikuwa Kiboko Aisee Akikufanyia Jambo Lazima lishike.
Kwanza Ukifika Kwake Kazi Anafanya Asubuhi tu Saa 12 mpka sa4 mwisho , Ukiingia Tu Unakutana na Kitambaa Ukutani kama Kuna Wabaya waliowahi kukufanyia kitu kibaya wote utawaona pale na vitu vyote walivyokufanyia , Mkishaangalia pamoja ndio Anaanza Matibabu.
Huyu ndiye aliyenifanya niamini baadhi ya Mambo tunayo yaonaga kwenye muvie za Kinigeria kuwa Yapo . Alikuwa kiboko sanaa kwa maradhi ya kimwili na wale wanaotaka hela za masharti . Kwa bahati mbaya mwaka jana niliambiwa amekufa kamwachia mtoto wake sijajua kama huyo mtoto atakuwa balaa kama Mama yake.
2. Nikajongea maeneo ya Biharamulo huko Nilikutana na Fundi ambaye anapiga Ramli Usiku yani huyu ni kiboko ya Wasiri , Nikienda pale akianza ramli anauwezo wakumuita mtu yoyote popote Alipo atakuja na Atatoa siri zote yaani ataongea kila kitu . Huyu nilikutana na baadhi ya viongozi wanaofichuaga siri za watu ila huyu mganga naye nilimwamini kwa kiasi fulani ingawa sikupata tiba kwake mana nilienda kuwasikiliza na kuwaita baadhi Ya watu.
3. Kuna mmoja Nilienda kwake Aisee huyu yeye nilimuona hamna kitu alikuwa maeneo ya Ukerewe kwanza picha inaanza kila alichoniambia alinambia vitu ambavyo sijawahi fanya wala kunikuta ila akawa anakomaa kuwa hayo ndo matatizo yangu yule mzee nilimkubalia ila nilivotoka sikurudi kabisa.
4. Kuna Mganga Nilikutana Naye maeneo ya Bagamoyo ni shehe yeye anatumia visomo binafsi sio muumini sanaa wa kusomewa kwani naona ni sawa tu na kuombewa unaweza fanikisha au usifanikishe , Yule mzeee Alinipeleka baharini Tukavunja nazi na Kusoma Dua zao zile ila yule kilichonipeleka sikukufanikisha Japo wenyeji walikuwa wakimsifia sanaa.
Nishakutana na waganga wengi mpka wa Dar es Salaam wakweli na Waongo ila Asikudanganye mtu Ukiamua kuamini waganga wapo watakaokusaidia na wapo watakaokupoteza kikubwa ni Kuwatambua tu , Uzuri ukishakuwa mtembeaji sanaa Huwezi Danganywa kinjinga.
Mi ngoja niishie hapa wengine endeleeni mtoe mliyokutana nayo kwa Waganga huko , saivi natafuta connection ya Kwamsisi kuna mambo nataka nikawaone Nao Ujuzi wao
mama juzi aliondoka kwenda kwa mganga wetu tunayemwamini,aliitwa samora,kabla ya kwenda mama aliniambia niende mimi kufata dawa ya kinga ya mifugo yetu nyumbani dhidi ya magonjwa,lakini nilimbishia sana nikimwambia aende yeye,nilijaribu kumpigia simu mganga yule lakini mara zote haikupatikana,hivyo mama akaamua aende hivyohivyo bila mawasiliano.Ni Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga ndugu zangu inauma sana
Ipo,ila inagharama kwelikweli😃(unaingia kwenye pact na shetani) utaratibu ninao!Hauna ya Urais Mkuu?
Unahitaji jambo gani nikupe msaada hapahapa?Dadek umenikumbusha mganga mmoja uchwara alikua anasema eti nizimu yote ya familia inanipenda mm so nitakua tajiri mkubwa ovyo kabisa alikula hela zetu na sasa ni masikini wa kutupwa[emoji23][emoji23] sijaoata utajiri wala nyota
Kwamba unamueleza yanayomsibuUnahitaji jambo gani nikupe msaada hapahapa?
Hapana...sio ramli no no!/ Suala la kuhitaji kipi direct....Kwamba unamueleza yanayomsibu
Sawa, ila mbona unatangatanga sana,?Huu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.
Kikubwa Toa Shuhuda Elezea Location alipo Mawasiliano sio Muhimu kwa Kuwa watembeaji ni Watu wa Kujiongeza.
Nitaanza mimi.
1. Mganga wa Kwanza Nilikutana Naye kigoma Huko wilaya Ya Kakonko , Alikuwa Mama wa Makamo Mwenye Mguu Mbovu, Yule Mama Alikuwa Kiboko Aisee Akikufanyia Jambo Lazima lishike.
Kwanza Ukifika kwake kazi anafanya asubuhi tu Saa 12 mpaka sa4 mwisho , Ukiingia Tu Unakutana na Kitambaa Ukutani kama Kuna Wabaya waliowahi kukufanyia kitu kibaya wote utawaona pale na vitu vyote walivyokufanyia , Mkishaangalia pamoja ndio Anaanza Matibabu.
Huyu ndiye aliyenifanya niamini baadhi ya Mambo tunayo yaonaga kwenye muvie za Kinigeria kuwa Yapo . Alikuwa kiboko sanaa kwa maradhi ya kimwili na wale wanaotaka hela za masharti . Kwa bahati mbaya mwaka jana niliambiwa amekufa kamwachia mtoto wake sijajua kama huyo mtoto atakuwa balaa kama Mama yake.
2. Nikajongea maeneo ya Biharamulo huko Nilikutana na Fundi ambaye anapiga Ramli Usiku yani huyu ni kiboko ya Wasiri , Nikienda pale akianza ramli anauwezo wakumuita mtu yoyote popote Alipo atakuja na Atatoa siri zote yaani ataongea kila kitu . Huyu nilikutana na baadhi ya viongozi wanaofichuaga siri za watu ila huyu mganga naye nilimwamini kwa kiasi fulani ingawa sikupata tiba kwake mana nilienda kuwasikiliza na kuwaita baadhi Ya watu.
3. Kuna mmoja Nilienda kwake Aisee huyu yeye nilimuona hamna kitu alikuwa maeneo ya Ukerewe kwanza picha inaanza kila alichoniambia alinambia vitu ambavyo sijawahi fanya wala kunikuta ila akawa anakomaa kuwa hayo ndo matatizo yangu yule mzee nilimkubalia ila nilivotoka sikurudi kabisa.
4. Kuna Mganga Nilikutana Naye maeneo ya Bagamoyo ni shehe yeye anatumia visomo binafsi sio muumini sanaa wa kusomewa kwani naona ni sawa tu na kuombewa unaweza fanikisha au usifanikishe , Yule mzeee Alinipeleka baharini Tukavunja nazi na Kusoma Dua zao zile ila yule kilichonipeleka sikukufanikisha Japo wenyeji walikuwa wakimsifia sanaa.
Nishakutana na waganga wengi mpka wa Dar es Salaam wakweli na Waongo ila Asikudanganye mtu Ukiamua kuamini waganga wapo watakaokusaidia na wapo watakaokupoteza kikubwa ni Kuwatambua tu , Uzuri ukishakuwa mtembeaji sanaa Huwezi Danganywa kinjinga.
Mi ngoja niishie hapa wengine endeleeni mtoe mliyokutana nayo kwa Waganga huko , saivi natafuta connection ya Kwamsisi kuna mambo nataka nikawaone Nao Ujuzi wao
Mkuu naomba connectionHuu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.

Mkuu naomba connection ya huyo wa kibondoNa mimi ngoja nichangie Uzi kama ilivyo tokea katika familia yetu japo wahusika niliowapa ramani walikuwa hawaamini haya mambo lakini badae walikuja kuamini
Mwaka 2021nikiwa mkoa wa kigoma, wilaya ya kibondo nikipiga michakato kwenye shirika x la wakimbizi, nilipata taarifa ya msiba wa uncle wangu tumbo Moja na mama. Nilijiandaa kulejea Kanda ya ziwa ambako ndio ndio nyumbani.
Tukio linaanza kama hivi, maleemu ambae ni uncle wangu aliwaikuwa na mgogoro na jamaa flani ambae walikuwa wakipiga mishe zao pamoja, lakini inaoneka, uncle uncle alikopa ela za jamaa na akawa ameweka Hati ya nyuma Kwa jamaa. Basi jamaa akawa anadai pesa yake lakini uncle hakuweza kumlipa, walivutana sana maana uncle nae alikuwa yuko fiti Kwa waganga. Basi siku zimeenda yule jamaa akaenda kufungua kesi mahaakamani Kwa vile alikuwa na pesa uyo jamaa alionga mahaakamani, mahakama ikatoa kibali Cha nyumba kuuzwa.
Ni story ndefu sana siwezi elezea yote, ni kwamba baada ya uncle kuwa ameugua na kufaliki kesi ilikuwa Bado Iko mahaakamani na nyumba ilikuwa lazima iuzwe, Kumbuka nyumba ipo mwanza town sio Kijiji. Sasa baada ya maziko kikao Cha familia kilikaaa, kumbuka kwenye uko wetu wengi wao ni watu wa dini sana Hadi watoto wake, sema Kuna dogo mmoja kwenye familia ni mwanaharakati na ninamkubali. Kikao kilitoa mapendekezo ya kutafta mwanasheria asimamie Ile kesi, lakini Mimi niliona iyo kesi ilikuwa ni nzito na lazima nyumba ingeuzwa. Baada ya kikao kumalizika Mimi niliwachukua vijana wa malehemu nikawaweka chemba nikawauliza, hivi Ili jambo mnalichukuliaje na hapa mkicheza nyumba inaenda.
Mkubwa akunielewa maana nae ametanguliza usomi sana na anakaa uko Dsm, mdogo alinielewa ni Teacher akaniambia brother Mimi nimekuelewa sasa tunafanyaje? Nilimwambia nyie ndo vijana wakubwa lakni mbona amuelewi kwaiyo nyumba ikiuzwa mtakaa wapi?
Kumbuka kipindi hicho maombolezo Bado yanaendelea, Mimi ilinibidi nirudi kigoma nikamwambia dogo ngoja niende tutawasiliana nitakwambia jambo, basi nilivofika kule Kuna Mzee mmoja wa kiha alikuwa na kijiwe Cha kahawa, siunajua tena mkishatoka mtingoni ni kwenda kuchuli kwenye kahawa. Sasa bandugu baada ya kumuelezea Mzee mkasa mzima wa marehemu mjomba na Hadi kesi ilipofikia nyumba kuuzwa, Mzee aliskitika sana na akasema kwaiyo nyie kama familia mmekubali nyumba kuuzwa?
Nikamwambia ndo maana nimekueleza unipe Mawazo tufanyeje, Mzee akuniambia Kuna mtu nitakuelekeza uende, uyo ni mtaalamu wa mambo ya kesi, napiga hata kama unataka jirani Yako kuhama na kuuzia eneo lake ni kazi raisi Kwa uyo mzee. Ilibidi anielekeze, Kwa menyeji wa Kibondo ukiwa kibondo mjini, ni kilo mita chache tu unafka kwenye icho kijijini Barabara ya kwenda kasuku. Ndugu zangu sikuamini baada ya kufika pale, Yani nilikuta watu wakubwa na matajiri ya kisukuma kutoka uko bariadi, Kahama NK.
Kwa siku iyo sikufanikiwa kuonana nae kwani alikuwa na kazi nyingi ilibidi nilale Hadi kesho yake saa saba mchana nikafanikiwa kuingia chumba Cha kazi.
Baada ya kuingia nilijitambulisha na ndipo aliset radar na kuanza kuangalia, kile alicho kusema ni kweli na alisema hata kifo Cha mjomba wako si chakawaida uyo jamaa amemzidi nguvu, kwaiyo anacho pambana sasa nikuchukua nyumba na kati ya watoto wa marehemu atakae jitokeza kufatilia iyo kesi nae ataenda na maji.
Kwaiyo nilimuuliza tunafanyaje sasa Mzee, aliniambia kazi inawezekana lakini anatakiwa kati ya mtoto wa wa marehemu Kuna zindiko anatakiwa kulifanya Kwa niaba, maana hapo nikiangalia nyumba uyo jamaa amezika vitu vizito tayari kuteka iyo nyumba, hivvo ni lazima tambiko la kusafisha mji lazima lifanyike na kuzika dawa Kingo zote za mipaka na katikati ya mji na dawa za kuoga mhusika atakae simama kama familia na maelekezo mengine. Alisema Kwa vile ni mbali itabidi umlipie kuja wangu nauli ataenda kufanya iyo kazi lakni Kuna vitu mnatakiwa mkanunue huko, aliniambia vitu vya kununua na nilimpigia simu bwana mdogo nikwambia aviandae na sisi tungekuja siku inayofuata.
Siku iyo tulifika rock City mnamo majira ya saa kumi lakini kazi yenyewe ilitakiwa ifanyike saa tisa usiku bila kukosea time, ilibidi tufikie lodge kwanza maana kazi Ile hakutakiwa mtu mwingine kujua. Ilibidi nimuite dogo aje lodge akapewa maelekezo ya kufanya, dogo akaenda kuandaa mazingira na vitu vilivyoitajika katika zoezi, kumbuka kazi iyo inafanyika mhusika lazima Kuna dawa anaoga nje akiwa uchi na akifanya manuizi.hatari.
Kukatisha story ni kwamba nyumba Hadi Leo ipo na kesi mahakama ilifuta na aliekuwa ana dai hajulukani alipo, sijui alikufa au vipi.Dogo anashukuru Hadi Leo japo wanafamilia hawajui, ninaejua iyo issue ni Mimi na madogo hao wa kiume tu, ingawa yule msomi wa Dar alikuwa anapinga lakni sasa ivi anakubali na mambo yake sometime ananishirikisha Nampa Mawazo. Hata na Mimi ni muumini lakini sometimes unaangalia na upepo.
Kigoma uchawi upo na yule Mzee ninamkubali kinoma, Wenyeji wa Kibondo uyo mzee mtakuwa mnamjua, Barabara ya kwenda kasulu, kijijini Cha kwanza kabisa ndo alipo. Ova.
Mpaka kesho PM yako itajaa maombi ya namba ya Kakonko hasa toka kwa kina dada.
Ukijipanga vizuri ni fursa nzuri ya kupata pesa ya vocha.
Wapo wengi hapa watacomment kupinga ushirikina lakini baadhi wana hirizi kwenye mapochi, chale mpaka matakoni na wengine ndio wanatoka kupiga ramli saa hizi.
Wachawi mnajuana. 😹Ko na chale mnazo mpaka za makalio?
Njoo inboxMkuu naomba connection ya huyo wa kibondo
Nataka kutumia message private ebu nifollow