Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

wote wenye imani yako walikufa na wataendelea kufa kizembe kabisa, mtu unampeleka hosp. Ugonjwa unakosekana,utafanyaje ili apone?
 
huyo namba 4 nshawahi kumsikia
jina lake linaanza na M inaishia na fa
 
Ni Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga ndugu zangu inauma sana
mama juzi aliondoka kwenda kwa mganga wetu tunayemwamini,aliitwa samora,kabla ya kwenda mama aliniambia niende mimi kufata dawa ya kinga ya mifugo yetu nyumbani dhidi ya magonjwa,lakini nilimbishia sana nikimwambia aende yeye,nilijaribu kumpigia simu mganga yule lakini mara zote haikupatikana,hivyo mama akaamua aende hivyohivyo bila mawasiliano.
Kweli mama akapanda gari,akafika kwa mganga,akawakuta watu wengi kiasi,kwa kujiongeza akadhani ni watu waliokuja kuaguliwa,wakapeana salamu kisha akauliza mzee yuko wapi badala ya kujibiwa akajibiwa na vilio kikali kutoka kwa watoto wa mganga, baadae walipotulia ndipo akajuzwa kuwa mganga mzee samora aliaga dunia siku 7 zilizopita.
Na mimi bila kujua nikampigia simu mganga kuulizia kuwa mbona mama harudi au hakufika, simu ikaita kisha ikapokelewa na mwanamke ni maneno machache tu nilijibiwa "mzee alishafariki dunia"
 
Dadek umenikumbusha mganga mmoja uchwara alikua anasema eti nizimu yote ya familia inanipenda mm so nitakua tajiri mkubwa ovyo kabisa alikula hela zetu na sasa ni masikini wa kutupwa[emoji23][emoji23] sijaoata utajiri wala nyota
Unahitaji jambo gani nikupe msaada hapahapa?
 
Mganga ni mganga tu make kuwa mganga mwenye mji huwezi kuwa mtapeli kuwa mganga ni vita uwashinde wachawi, na mganga kama hataendana nyota, hawezi kutatua jambo lako.
 
Sawa, ila mbona unatangatanga sana,?

Kumbe muonja asali huchonga mzinga.

Nilidhani unaenda mara moja tu hurudi tena kumbe kuna kuhangaika huku na kule
 
Mkuu naomba connection
 
Mkuu naomba connection ya huyo wa kibondo
 

Wachawi mnajuana. 😹Ko na chale mnazo mpaka za makalio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…