Teh kwa hiyo hao mnaooaga wao wanajuaga maisha ni tambarare kiasi kwamba ndoani zikiisha wanawasha moto? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wanavoongea utafikili kweli jichanganye uone;
Mambo huwa ovyoo ukipigika (ukifulia)
Hivi ni kweli masikini hawafurahii ndoa jamani? au mnazungumzia ndoa za kupelekana Paris na ku shop Dubai..maana sielewi. wapo watu tunawaona basic needs zao ni za kuunga unga mno ila wana furaha hadi mtu unawatamani[emoji23][emoji23]Kumbe ndoa ni asali na maziwa namna hii? Ila ombeni hela ziwepo tu
[emoji28][emoji23]Au Kuna ile unakuta siku hiyo umeamua kumpiga show mpaka anakimbilia room y watoto,,,,, unaanza mbembeleza kesho nakununulia chupi anajibu ulininunulia dazani juzi Hapa bado zingine sijavaa,,, unaamua mwambia basi tutajenga nyumba nyingine, unakuta anatabasamu anakwambia nimechoka mume wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho huwa namwambia njoo nikunyonye uchi japo dakika Moja ktkt y sucking unasikia basi malizia baby ila jitahidi umalize chap
Hata mmNaitamani ndoa lakin mmhh
Mungu akupe hitaji la moyo wakoHata mm
Naitamani ndoa lakin mmhh
Hata mm
One thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.
Tuko kuwekana sawa n Jamaa aiseeeeeMsamehe mkuu
[emoji39][emoji39]Fanyeni jambo basi tule kimbwabwa..
Ukipata mtu sahihi mwenye kujua thamani ya upendo ndoa ni nzuri sana. Hata mnapokuwa na kutofautiana kimawazo kila mmoja anakuwa na hamasa ya kutafuta suluhu mapema sana.
Joking around, story telling, having sex, kuwa na mtu wa kukutia moyo, kukuombea, kukupenda pamoja na madhaifu ulonayo ya kibinadamu nk.
Baada ya mahusiano na Mungu, uhusiano baina ya mke na mume ndo mahala ambapo mwanadamu anapata kiwango kikubwa cha utoshelevu wa nafsi na intimacy. Personally naifurahia ndoa, it's one of the best things I have ever had. I thank God for my wife.
Kwanini?Nimesoma comments zote bado sijashawishika
One thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.
Hakika mkuu, mimi ni nani nikupinge. Kila ndoa ina uniqueness yake, lakini uchumi ukikaa vibaya ndani ya nyumba ni shida mkuu.Think positive mkuu.
Kwani ni lazima kila mtu kwamba kuna siku atakuja kupigika? Mbona kuna watu kibao tu wanafanya biashara mpaka wanazeeka na hawajawahi kufilisika au kupigika? Mbona kuna wafanyakazi kibao tu wanafanya kazi mpaka wanazeeka wanastaafu kwa amani na hawajawahi kufukuzwa kazi? Mbona kuna familia kibao tu wanaume wamepigika ila maisha yanaenda na wanaendelea kuishi kwa amani? Na mbona kuna familia kibao ambazo wanaume hawajapigika lakini moto unawaka humo ndani wanaishi kama paka na panya?
Kupigika ni kama ajali tu, mtu huwezi kuacha kuoa eti kisa unaogopa ukija kupigika itakuaje.
Upo sawa kabisa.Mara nyingi watu huongea kutokana na uzoefu walionao bila kuangalia mambo kwa upana zaidi and explore uzoefu wa watu wengine. Kuna couples nyingi tu zimepitia hard time kiuchumi ila still wanahakikisha wanafurahia mahusiano yao wakiamini uko wakati mambo yatakaa fresh. Nna uzoefu binafsi kwenye hili na watu wengine pia.
Usikute ndo unamdanganya kuwa utamuoa,(who knows)Iam joking.Unaeza kutana nae huko duniani.Mkuu yule mdogo wako wa kike yupo?? Connection tafadhali.
I am a Gentleman
Acha kufundisha wanandoa umalayaOne thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.