missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Teh kwa hiyo hao mnaooaga wao wanajuaga maisha ni tambarare kiasi kwamba ndoani zikiisha wanawasha moto? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wanavoongea utafikili kweli jichanganye uone;
Mambo huwa ovyoo ukipigika (ukifulia)