Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Kumbe ndoa ni asali na maziwa namna hii? Ila ombeni hela ziwepo tu
Hivi ni kweli masikini hawafurahii ndoa jamani? au mnazungumzia ndoa za kupelekana Paris na ku shop Dubai..maana sielewi. wapo watu tunawaona basic needs zao ni za kuunga unga mno ila wana furaha hadi mtu unawatamani[emoji23][emoji23]
 
Au Kuna ile unakuta siku hiyo umeamua kumpiga show mpaka anakimbilia room y watoto,,,,, unaanza mbembeleza kesho nakununulia chupi anajibu ulininunulia dazani juzi Hapa bado zingine sijavaa,,, unaamua mwambia basi tutajenga nyumba nyingine, unakuta anatabasamu anakwambia nimechoka mume wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho huwa namwambia njoo nikunyonye uchi japo dakika Moja ktkt y sucking unasikia basi malizia baby ila jitahidi umalize chap
[emoji28][emoji23]
 
Halafu wanawake mlio kwenye ndoa kuna wakati ni kama huwa mnawaringishia waume zenu wale wasioolewa. Nimeligundua hili leo Kanisani.

Kuna utaratibu wanawake wanakaa upande wa kushoto na wanaume wanakaa kulia, Sasa wale wanawake walioolewa utakuta wanatoka upande wao na kuja kukaa na waume zao na kusababisha wale wanawake singo muda mwingi wanakuwa wanawapiga kijicho hawa wanandoa. Nayo hii ni faida ya ndoa.

Halafu hata kukiwa na uchaguzi wa viongozi wa Kanisa, shart la kwanza eti ni lazima uwe umeoa au kuolewa. Hawajagundua tu kuwa ndoa ni cheti tu, wakiwa huko majumbani mwao ni full visirani na machukizo.
 
Ukipata mtu sahihi mwenye kujua thamani ya upendo ndoa ni nzuri sana. Hata mnapokuwa na kutofautiana kimawazo kila mmoja anakuwa na hamasa ya kutafuta suluhu mapema sana.

Joking around, story telling, having sex, kuwa na mtu wa kukutia moyo, kukuombea, kukupenda pamoja na madhaifu ulonayo ya kibinadamu nk.

Baada ya mahusiano na Mungu, uhusiano baina ya mke na mume ndo mahala ambapo mwanadamu anapata kiwango kikubwa cha utoshelevu wa nafsi na intimacy. Personally naifurahia ndoa, it's one of the best things I have ever had. I thank God for my wife.

Mkuu umesema vizuri sana. Mimi pia nakazia hiyo sentensi ya mwisho.
 
One thing MUST remain constant...PESA!

Oa halafu upigike, dadeq.

Think positive mkuu.

Kwani ni lazima kila mtu kwamba kuna siku atakuja kupigika? Mbona kuna watu kibao tu wanafanya biashara mpaka wanazeeka na hawajawahi kufilisika au kupigika? Mbona kuna wafanyakazi kibao tu wanafanya kazi mpaka wanazeeka wanastaafu kwa amani na hawajawahi kufukuzwa kazi? Mbona kuna familia kibao tu wanaume wamepigika ila maisha yanaenda na wanaendelea kuishi kwa amani? Na mbona kuna familia kibao ambazo wanaume hawajapigika lakini moto unawaka humo ndani wanaishi kama paka na panya?

Kupigika ni kama ajali tu, mtu huwezi kuacha kuoa eti kisa unaogopa ukija kupigika itakuaje.
 
Hakika mkuu, mimi ni nani nikupinge. Kila ndoa ina uniqueness yake, lakini uchumi ukikaa vibaya ndani ya nyumba ni shida mkuu.
 
Mara nyingi watu huongea kutokana na uzoefu walionao bila kuangalia mambo kwa upana zaidi and explore uzoefu wa watu wengine. Kuna couples nyingi tu zimepitia hard time kiuchumi ila still wanahakikisha wanafurahia mahusiano yao wakiamini uko wakati mambo yatakaa fresh. Nna uzoefu binafsi kwenye hili na watu wengine pia.
Upo sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom