Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Na mtaachana tu nakwambia usitutishe
Nimekaa nae more than 10 years,,,, hata Master's yangu yeye Amelia sehemu y mafanikio yake by the way true n form four level,,,,pia and mapungufu but naomba mungu anipe ujasiri Ili niyashinde,,,,

NB kesho nampeleka clinic n mtoto Wetu WA Tatu ambaye anafunga mwezi kamili kesho.....

So just Tulia kijana tafuta w kukufaa kulingana n Maisha yako ,,,Kwa mke hatuangalii matako brthr
 
Kwamba mm naangalia matako sana eeenh haya mkuu Mungu awatangulie ndoa yenu iwe mfano kwa watu na watoto wenu. Amina
 
Namshukuru Mungu kwa kunipa soul mate wangu. Tunajaliana na kupendana pamoja na kusaidiana katika kila kitu.

Hakika Mungu kanipendelea maana hii ni zaidi ya ndoa kwangu.
 
Hawa wanavoongea utafikili kweli jichanganye uone;
Mambo huwa ovyoo ukipigika (ukifulia)
Ndoa nzuri zipo mkuu.

Issue ya kupigika inategemea na aina ya mke ulieoa pamoja na namna ulivyokuwa unamtendea wakati una kipato kizuri.

Kuna kipindi niliyumba ila wife alikuwa kitulizo changu namba moja, that woman is something else. She gave me strength, encouragement and respect. Tumeimarika zaidi baada ya kipindi kile kigumu and became more intimate.
 
Mnaosema kwamba ndoa tamu ikiwa pesa ipo,ikikosekana utamu unaisha poleni kwa kukosekana uaminifu kwenye ndoa zenu.Binafsi najua kwenye maisha kuna kupanda na kushuka so hata kesho tukiamka hatuna kitu mapenzi yangu kwake hayatakoma.Hii ni kwasababu tulivitafuta na kwa imani tutavitafuta tena.Binafsi sijawai juta kuolewa na sijui kama nitajuta.

Ndo ni nzuri jamani,kuwa na mtu wa kumwambia hisia zako at anytime na bla bla nyingine nyingine raha sana.
Mara nyingi watu huongea kutokana na uzoefu walionao bila kuangalia mambo kwa upana zaidi and explore uzoefu wa watu wengine. Kuna couples nyingi tu zimepitia hard time kiuchumi ila still wanahakikisha wanafurahia mahusiano yao wakiamini uko wakati mambo yatakaa fresh. Nna uzoefu binafsi kwenye hili na watu wengine pia.
 
Hongera sana mkuu, unajua watu hutazama maisha in a different dimensions na tunatofautiana levels of “Endurance”.

Kuna watu hufurahia maisha as long as kuna amani ya moyo tu and they don’t care about other stuffs! Hawa ndio wale ambao wako true with themselves! Hawana matata kabisa! Ale mchicha dagaa ugali as long as kuna upendo vipindi vya shida na raha yeye atakuwa pamoja na wewe tu and too suportive emotionaly. Hawa ndio wengi hufurahia ndoa. If you happen to have this kind of marriage then you are damn lucky.

Wengine hufurahia maisha so long as kuna pesa tu ya kuburudisha nafsi zao. They don’t care about peace of mind alimradi kuna pesa ya kuspend tu wao wataendelea kuvumilia ndoani kinafiki tu! Kundi hili ndio wengi na hu suffer na matatizo ya ndoa big time especially in bad financial times! Mifarakano, ugomvi na kelele yani nyumba hugeuka jehanamu!

So hongera sana kama una ndoa iliogubikwa na upendo. Kweli mlichaguana vyema
Well said mkuu
 
Mnaosema kwamba ndoa tamu ikiwa pesa ipo,ikikosekana utamu unaisha poleni kwa kukosekana uaminifu kwenye ndoa zenu.Binafsi najua kwenye maisha kuna kupanda na kushuka so hata kesho tukiamka hatuna kitu mapenzi yangu kwake hayatakoma.Hii ni kwasababu tulivitafuta na kwa imani tutavitafuta tena.Binafsi sijawai juta kuolewa na sijui kama nitajuta.

Ndo ni nzuri jamani,kuwa na mtu wa kumwambia hisia zako at anytime na bla bla nyingine nyingine raha sana.
Mkuu yule mdogo wako wa kike yupo?? Connection tafadhali.

I am a Gentleman
 
Ukipata mtu sahihi mwenye kujua thamani ya upendo ndoa ni nzuri sana. Hata mnapokuwa na kutofautiana kimawazo kila mmoja anakuwa na hamasa ya kutafuta suluhu mapema sana.

Joking around, story telling, having sex, kuwa na mtu wa kukutia moyo, kukuombea, kukupenda pamoja na madhaifu ulonayo ya kibinadamu nk.

Baada ya mahusiano na Mungu, uhusiano baina ya mke na mume ndo mahala ambapo mwanadamu anapata kiwango kikubwa cha utoshelevu wa nafsi na intimacy. Personally naifurahia ndoa, it's one of the best things I have ever had. I thank God for my wife.
 
Kwamba mm naangalia matako sana eeenh haya mkuu Mungu awatangulie ndoa yenu iwe mfano kwa watu na watoto wenu. Amina
Yap coz uko mpuuz Sana,,,,,,, uzi unataka mazuri y ndo wewe unadai tutaachana Ili umuoe wewe mke wangu,,,,???? Na watoto wataishije tukisha achana....?????

Non sense
 
Ukipata mtu sahihi mwenye kujua thamani ya upendo ndoa ni nzuri sana. Hata mnapokuwa na kutofautiana kimawazo kila mmoja anakuwa na hamasa ya kutafuta suluhu mapema sana.

Joking around, story telling, having sex, kuwa na mtu wa kukutia moyo, kukuombea, kukupenda pamoja na madhaifu ulonayo ya kibinadamu nk.

Baada ya mahusiano na Mungu, uhusiano baina ya mke na mume ndo mahala ambapo mwanadamu anapata kiwango kikubwa cha utoshelevu wa nafsi na intimacy. Personally naifurahia ndoa, it's one of the best things I have ever had. I thank God for my wife.
Well said! Good Lucky
 
Back
Top Bottom