stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Ya GengeHabari
Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
Hii biashara ina hela ila ina njia zake😁 usiingie kichwa2.biashara ya simu
Hii kweliMaji ya upako
Mkuu plzBlackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Nije pmBlackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Vijana fuateni nyuki 😁Blackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Hapana boss! Hii ni Siri halafu pia hata nikikuambia bila kuwa na connection huna pa kuuzia. Inahitaji kwanza utengeneze customer base hapo ndio mseleleko utauona. Unashusha mzigo unasambaza kwa wadau unashusha mwigne chapMkuu plz
HapanaNije pm