Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Ni bangi auHapana boss! Hii ni Siri halafu pia hata nikikuambia bila kuwa na connection huna pa kuuzia. Inahitaji kwanza utengeneze customer base hapo ndio mseleleko utauona. Unashusha mzigo unasambaza kwa wadau unashusha mwigne chap