Ni bangi auHapana boss! Hii ni Siri halafu pia hata nikikuambia bila kuwa na connection huna pa kuuzia. Inahitaji kwanza utengeneze customer base hapo ndio mseleleko utauona. Unashusha mzigo unasambaza kwa wadau unashusha mwigne chap
MzaziDerivative Trader..
Ni elimu tu mim hapa miaka 5saiv niko level ya kati naenda juu soonMzazi
Ukiipatia hii umetoboa
Unauza dildo??Hapana boss! Hii ni Siri halafu pia hata nikikuambia bila kuwa na connection huna pa kuuzia. Inahitaji kwanza utengeneze customer base hapo ndio mseleleko utauona. Unashusha mzigo unasambaza kwa wadau unashusha mwigne chap
Juzi kuna mtu kagonga mil30 heka1 ya parachichi. Kitu ambacho sio cha kawaida.Habari
Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
sasa black market unakunja 2M si uje tu kwenye white market😳Blackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Biashara ya kusave 2M Kwa mwezi ndio utajirike? Si Bora ukaajiriwe tuBlackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Shkamoo jf🤣Biashara ya kusave 2M Kwa mwezi ndio utajirike? Si Bora ukaajiriwe tu
Biashara ya kusave 2M Kwa mwezi ndio utajirike? Si Bora ukaajiriwe tu
DuuuuJuzi kuna mtu kagonga mil30 heka1 ya parachichi. Kitu ambacho sio cha kawaida.
Dunia hii, iache tu mkuu.
NotedHapana boss! Hii ni Siri halafu pia hata nikikuambia bila kuwa na connection huna pa kuuzia. Inahitaji kwanza utengeneze customer base hapo ndio mseleleko utauona. Unashusha mzigo unasambaza kwa wadau unashusha mwigne chap
✅️Hardware
Gadgets
Mazao
LinkTIT mining soon ntakua na hela
Tufungue akili kidogo bossHii biashara ina hela ila ina njia zake😁 usiingie kichwa