Uzi wa kuwakumbuka wale waliotangulia mbele ya haki pamoja na mambers ambao hawajaonekana jukwaani kwa muda mrefu.

mfuaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
632
Reaction score
1,104
Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.

Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.

Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni nafasi yao kuja kutangaza kuwa kuwa wamekuja na IDs mpya.

Kwa hiyo kama Kuna memba una uhakika amaetutangulia mbele ya haki basi huna budi kumtakia pumziko la amani kule aliko.

Rest in peace my brothers Adrian Stepp, mpauko, and Warumi.
 
Mdude_Nyagali we miss you brother.

raraa reree where a u...
 
Anko Ben......Kuna day mafaili yatamwagwa na wahuskia wenyewe bila kutumia kituo kidogo.
1751032641016.jpg
 
Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.

Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.

Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni nafasi yao kuja kutangaza kuwa kuwa wamekuja na IDs mpya.

Kwa hiyo kama Kuna memba una uhakika amaetutangulia mbele ya haki basi huna budi kumtakia pumziko la amani kule aliko.

Rest in peace my brothers Adrian Stepp, mpauko, and Warumi.
Buriani
Tumaini Kakuyu Mlewa
Elihuruma Owdecalm Mpayo
Aaron Elias Manota Lufungulo
Gilbert Paulinus Sanga
Vivian Scolastica Butahe
 
Back
Top Bottom