Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ni rafiki mzuriiii Sanaa 😊 ndegee tulikua tunapiga Sana story naeHatari sana mkuu.
Ni rafiki mzuriiii Sanaa 😊 ndegee tulikua tunapiga Sana story naeHatari sana mkuu.
Ukiona kaburii jua kua yule pia alikua ni mtu pengine Bora kabisaa kuliko Mimi na wewe.
Warumi aliacha alama humu ndani wengi wamemtaja.warumi RIP dearest [emoji22][emoji22][emoji22]
Mjep i mic u mume wangu kipenziii [emoji178][emoji178]
robbinhood uko wapii Dear babeeh, [emoji3590][emoji3590]
Nimetoka kufuatilia reply zake naona ni zile zile za secretarybirdNa research eeeee ngojaa tuoneee
R.I.P dada yangu mheshimiwa @regiamtemaKuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.
Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.
Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni nafasi yao kuja kutangaza kuwa kuwa wamekuja na IDs mpya.
Kwa hiyo kama Kuna memba una uhakika amaetutangulia mbele ya haki basi huna budi kumtakia pumziko la amani kule aliko.
Rest in peace my brothers Adrian Stepp, mpauko, and Warumi.
Kidogo nikutaje mkuu kwani sijakuona muda JF.
Ni kipenzi cha wengi, mie nilimfahamu hadi nje ya humu.Warumi aliacha alama humu ndani wengi wamemtaja.
Au bachiiJana Divishen Foo alisema ndege Sasa hivi anajiita Tumbili in town 😂.
Oyaa adim sana hao jamaaMbao za Mawe Robot la Matope Jokajeusi funzadume ONTARIOO Mzizi wa Mbuyu Infantrysoldier n.k mmekuwa adimu
Zimefika usijali nitamwambia km amemisika huku..!!Huwa tuna peana hoja kwa hoja for sure kama una access nae mfikishie salamu zangu kwake.
Msalimie secretarybirdAu bachii
Mbona mi nipo 😹😹Kidogo nikutaje mkuu kwani sijakuona muda JF.