Inasikitisha sana
Mme wa Cute Wife
Hahaha Kawaida mkuu Tuliza kichwaNimechanganya mkuu ni warumi duh, hizi bangi zitanipeleka pabaya.
I'm very sorry 😔
Yule mwenyw alikua na yutiai sugu na piaidii, shombo la samaki kama upo feri Kwa mujibu wa CountrywideCute Wife wa zamani, huyo wa sasa kaiba jina hatumjui..!! 😹😹
😹😹😹 Weee!!Yule mwenyw alikua na yutiai sugu na piaidii, shombo la samaki kama upo feri Kwa mujibu wa Countrywide
Mm ni kidume mtu wa musoma, hii username ni upendo Kwa ex wangu alinikaribisha dar es salaam Sasa Hv kaniacha😹😹😹 Weee!!
Ila Penseli una hekaheka.
Ni muda sasa uolewe utulie 🤣
Hahahah kwamba nimedanja bwashee 😛😛
Hahahah kwamba nimedanja bwashee
Ndio mkuuKweli mkuu, Kuna muda akili lazima iruke kidoga hasa kwa sisi wenye majukumu ya Kulea mke mwenye kisirani.