Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Huyu hana faida kwenye jamii , ni moja ya uzao wa hovyo hapo TanzaniaLucas Mwashambwa pia ameadimika
Huyu hana faida kwenye jamii , ni moja ya uzao wa hovyo hapo TanzaniaLucas Mwashambwa pia ameadimika
Jamii inahitaji watu wajingawajinga ili iwe inafurahi.Huyu hana faida kwenye jamii , ni moja ya uzao wa hovyo hapo Tanzania
raraa reree sijui kapotelea wapi huyu mkuu.
Hope atakua kamaliza KANDARASI YAKE YA KUMWAGA MA LIKE☺️🤣raraa reree sijui kapotelea wapi huyu mkuu.
Hakika mzee wa ma kumwaga likes hope atakua kamaliza kandarasi yakeeMtu wa like kwa uzi wowote. If you are alive resurface please.
Labda huenda ikawa n hivyoHope atakua kamaliza KANDARASI YAKE YA KUMWAGA MA LIKE☺️🤣
Apumzike kwa AMANI.Ni kipenzi cha wengi, mie nilimfahamu hadi nje ya humu.
Siwezi sema mengi, kila siku namkumbuka best angu huyu.
Haaahaa 😆 🤣Nimechati naye Leo mbona kapoteza nywila 😂
Lara1 wapi
Kwani huyu si yule mabasi ya Dar - Dodoma? Niguse ninuke au tofauti?Namtafuta mzee wa road trip RRONDO kimya sana mwanangu.
Jirani unafanya nini?Bado nipo bibie, halafu nipo jirani tu na wewe..ukichungulia unaniona.
Mbao za Mawe Robot la Matope Jokajeusi funzadume ONTARIOO Mzizi wa Mbuyu Infantrysoldier n.k mmekuwa adimu
Hahaha akizungua tuu namfata kikashaniHaaahaa 😆 🤣
Leo Hujaenda church 😁Hahaha akizungua tuu namfata kikashani