@Britannica yupi huyo?Rest in peace my brothers Adrian Stepp, mpauko, and Britannica
Mdude_Nyagali we miss you brother.Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.
Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.
Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni nafasi yao kuja kutangaza kuwa kuwa wamekuja na IDs mpya.
Kwa hiyo kama Kuna memba una uhakika amaetutangulia mbele ya haki basi huna budi kumtakia pumziko la amani kule aliko.
Rest in peace my brothers Adrian Stepp, mpauko, and Warumi.
Acha kuvuta kama hujashiba pia usivute kwenye jua kaliiNimechanganya mkuu ni warumi duh, hizi bangi zitanipeleka pabaya.
I'm very sorry π
BurianiKuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.
Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.
Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni nafasi yao kuja kutangaza kuwa kuwa wamekuja na IDs mpya.
Kwa hiyo kama Kuna memba una uhakika amaetutangulia mbele ya haki basi huna budi kumtakia pumziko la amani kule aliko.
Rest in peace my brothers Adrian Stepp, mpauko, and Warumi.
Huyu aliyuaga kabisa ndege alikua MSHIKAJI WANGU SANAA π₯
Huyo atarudi soon alikuwa anapambana na watu wasiojulikana.secretarybird Kakimbia
Ongeza BAK
Ndege mshenzi sana π ngoja nimwendee WhatsApp kikashaniHuyu aliyuaga kabisa ndege alikua MSHIKAJI WANGU SANAA π₯
Ndege kesha timka zakee ππNdege mshenzi sana π ngoja nimwendee WhatsApp kikashani