Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #41
Safi sana. Hapa ni kupeana ukweli tu hamna kuoneana aibu. Nadhani chizi maarifa umeipata fresh.... Dada amekuchana hapa.Mtu wa hovyo mmoja wapo ni wewe Chizi Maarifa unataka kudraw attention kwa watu kwa upumbavu wako.Shame on you[emoji57]
Mkuu Mshana Jr kakuzidi kila kitu Kuanzia akili pesa Maisha nk so unapambana na mtu ambaye kakuzidi kila kitu tegemea kushambuliwaSafi sana. Hapa ni kupeana ukweli tu hamna kuoneana aibu. Nadhani chizi maarifa umeipata fresh.... Dada amekuchana hapa.
Mi jina lake silikumbuki.Namba tatu si uandike GENTAMYCINE umezunguka sana ili iweje.
😅😅😅🤣🤣🤣 Sasa Mimi mkulima Nina kosa gani amadala wakati Mimi nalima ili wewe wa mjini upate chakulaChuki za wazi kabisa,
Umetaja watu wa maana wote
Ungejiweka wewe kama mwakilishi wa kundi la hovyo;
Shame on youunamwachaje Mwashambwa au upo na kundi moja
Umekuja na moja ya IDs zako.Naunga mkono hoja. Jamaa amemkosea sana GENTAMYCINE Nadhani chizi maarifa ni jitu la hovyo hovyo lililojaa wivu
Hapana siyo kweli maana Mimi naongea ukweli muda wote hapa,Lucas mwashambwa Ndio SI unit ya uchawa jamiiforum.
Sawa bibii... Nimekupata vizuri. Mimi ni mtu wa hovyo hovyo sana. Hasa nikinywa wanzuki ndo utanipenda. Ila rafiki yako hajakwambia kuwa yuliyamaliza na tukubaliana tusiji expose kwa Ids hizi. So weka chuki chini. Mimi nyota sina kwa kweli. Anazo Mungu tu na Misikitini kuna nyota na mwezi. Wewe mwanamke nipatie moja basi.... Mi nitaacha uhovyo sawa? Nawe uache zile issues za kunanii.....we nwenyewe ndo mtu wa hovyo kuwahi kutokea,vinyuzi vya kijingajinga hujioni?
you're trying to seek cheap popularity sema ndo hivyo nyota huna.Idiot!
Hayumo...Mkuu naona umefurahi kutowekwa kwenye hii list.
1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.
2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.
3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.
4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote
5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.
6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.
Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Tayari dada. Tayari. Sikujua kama na mimi ni mtu wa hovyo. Mbona nipo fresh sana?Mbona wewe hujajitaja kwa uchizi wako?
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Kuhusu namba 6 umenifurahisha,ni lofa kama lofa wengine.1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.
2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.
3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.
4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote
5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.
6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.
Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Upo fresh sister?Tayari dada. Tayari. Sikujua kama na mimi ni mtu wa hovyo. Mbona nipo fresh sana?
Mtaje tu....maana naona kama ni mimi kabisa hapa.Kuna MTU humu mwaka huu kaja pm kwangu mara kumi Kwa I'd tofauti.
Cha ajabu ni msahaulifu akishakupanga anatuma Namba ya simu Ile Ile, yupo Moshi.....