Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.

2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.

3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.

4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote

5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.

6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.

Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Wengine sawa, lakini kwa Mshana Jr hapana.
Ila mpwayungu village huyu hafai. Muongo kupitiliza.Nilishawahi mtetea kwenye thread yake ya safari ya Uganda (Kampala) lakini niliposoma comments za watu nikagundua huyu jamaa ni muongo mahsusi
 
Usikute alieanzisha uzi ndie mshana mwenyewe..! Asalaam aleikyum..😄
Mshana hanaga tabia za kijinga za kuja na ID mpya, jamaa anajielewa Sana na mtoa mada amemvunjia heshima Yake
Sio poa kabisa yaani
 
Huyo ananifahamu vizuri mi silei mayai mabovu
Nilichoelewa tangu mwanzo wa thread yako ni kwamba hao wengine wote umewataja kama kuzuga tu, lakini lengo lako kuu lilikuwa kwa namba 3. Na hii imethitika kwa hii comment yako hapo juu.

Uchokozi wa dhahiri huu kabisa.
Una bahati leo ameamua kuwa mpole.
 
Nisikilize ninavyoimba na pia ninavyopiga Gitaa
Naona watu wamependeza na sijui kitatokea Nini

I do this for you Demi
NAPENDA ukiwa na Furaha

Mtoa Mada acha Chuki
Nikajua umenitaja mie mtu wa hovyo 😅😅
 
huyo namba moja niwahovyo sijawahi kuona akitoka yeye unakuja wewe. nawewe nimzee wahovyo.namba moja anamiliki mi I'd kibao humu hata kwenye huu uzi zimekuja kumtetea.kwenye ubingo wake anawaza mapenzi tu. mawazo yamaana hana.kunamwingine alikua anajiita girls huyu nimzee choko kabisa.
 
1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.

2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.

3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.

4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote

5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.

6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.

Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Dah...wenye akili hata siku moja hawajadili watu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom