Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Baada ya kujipa muda kwenye highpoly car models nikaamua kurudi tena. Hapo awali tairi pekee ilinichukua siku tatu lakini kwa sasa kila kitu kilikamilika kwa chini ya masaa manne. Ugeni ulikuwa unasumbua tu kumbe.

Lakini sasa niliamua kwenda mbele zaidi kwa ku add drivers kwenye matairi ili niki animate gari yazunguke kufuata gari


Bofya file hapo chini kuona animation yake
 

Attachments

  • 0001-0270.mp4
    900.3 KB
Ukiachana na cloth simulation ambayo ndiyo mnyonge wangu kitambo, simulations nyingine nilikuwa naziogopa mno. Ila majuzi nikaamua kujaribu fluid simulation ambayo ilikuwa inanitoa jasho sana kwenye ku control mtiririko wa maji lakini angalau niliweza na nimehamasika kujaribu complex fluid simulation kwa siku za usoni


Bofya hapa chini kuona animation yake
 

Attachments

  • 0001-0249.mp4
    991.5 KB
Mkuu hii inatumia mda gani
 
Baada ya kuvutiwa na huu uzi nkaona nijaribu japo sna pc ila nkatumia simu, shida ilukuja pale nlipotoa mtu asiefanana na mm hata kidogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 

Attachments

  • 20200517_144220.png
    470.8 KB · Views: 23
  • 20200517_144220.png
    470.8 KB · Views: 24
Angalau hii (infinite design) rahis kdogo japo sjawa fresh ila youtube naona watu wanatengeneza znakua nzuri ila mm n vile ndo nmeiona leo nkajarbu kama lisaa lizma ila nmeambulia hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20200518_112031.png
    416.4 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…