Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 897
- 2,835
NzuriAngalau hii (infinite design) rahis kdogo japo sjawa fresh ila youtube naona watu wanatengeneza znakua nzuri ila mm n vile ndo nmeiona leo nkajarbu kama lisaa lizma ila nmeambulia hiiππππ
Kijifunza umetumia muda ganiMuda kwenye kujifunza softwere ama kumodel hiyo niliyo model hapo?
Binafsi nilitumia mwezi mmoja na sehemu hivi hadi kuanza kuielewe vizuri software kwenye maeneo yake ya msingi. Na niliwekeza muda sana, ilikuwa natumia hadi masaa 14 kwa siku nikijaribu hiki na kile.Kijifunza umetumia muda gani
Kuna hesabu piaBinafsi nilitumia mwezi mmoja na sehemu hivi hadi kuanza kuielewe vizuri software kwenye maeneo yake ya msingi. Na niliwekeza muda sana, ilikuwa natumia hadi masaa 14 kwa siku nikijaribu hiki na kile.
Ila hakuna muda maalum inategemea na ni kiasi gani cha muda unautumia na uwezo wako wa kuelewa na kuchanganya ideas katika maeneo mbalimbali, kumbukumbu na uwezo wa kukokotoa mahesabu kwa mbali hasa linapokuja suala la animation na simulation.
Ndiyo mzee, lakini siyo ngumu sana ukiizoea na ukavifhamu vitu vya msingi zaidi hasa ishu za x, y, and z-axis, utakuwa unateleza tu kwenye mambo mengi. Karibu mahesabu mengi yanalala kwenye hiyo mistari ya x, y, na z.Kuna hesabu pia
Karibu sana madame.Ngoja niuhifadhi.
Ntakujaangalia.
Nikiingia na jf app
Napenda sana
Daaah napenda sana vitu hivi yaniNdiyo mzee, lakini siyo ngumu sana ukiizoea na ukavifhamu vitu vya msingi zaidi hasa ishu za x, y, and z-axis, utakuwa unateleza tu kwenye mambo mengi. Karibu mahesabu mengi yanalala kwenye hiyo mistari ya x, y, na z.
Karibu mkuu, na kwa kuwa sehemu ya kukutania ni hii hapa kama ukiianza safari tutasaidiana kadri ya uwezo.Daaah napenda sana vitu hivi yani
Tuko pamojaKaribu mkuu, na kwa kuwa sehemu ya kukutania ni hii hapa kama ukiianza safari tutasaidiana kadri ya uwezo.
Shukrani mkuu kwa ushauri.Mkuu kazi zako ni nzuri sana.
Kama ushauri wangu naona ukiona kazi zako zinaanza kukomaa ufanye episode ndogo ndogo na kuupload youtube utajulikana na pia jaribu kuandaa movie fupi fupi.
Kuna mnaijeria YouTube ana episodes inaitwa "splendid carton " aisee zinavutia
MONEY STOP NONSENSE
Shukrani mkuu kwa ushauri.
Tayari nilikuwa na mpango huo na nilishaandaa kabisa kila kitu na nikapanga kutengeneza web seties yenye episode kumi. Nikaingia mzigoni nikaandika script na nikatengeneza episode kama tatu hivi but hapo kati nikaumwa sana nilipokuja kupona ile energy ikapotea kabisa. Na sasa hivi nina majukumu flani yanayonifanya nisipate muda wa kuendelea.
Hadi sasa nina episode 3 zenye dakika kati ya sita hadi nane zilizokamilika kabisa ila nashindwa kuzitoa kwa sababu sina uhakika kama nitaweza kuendelea kwa wakati na ubaya zaidi ni story yenye mwendelezo hivyo naweza kuwakera watu kwa kuweka nusu.
Ila bado nafikiria namna ya kulishughulikia hilo ila naamini siku za usoni panapo majaaliwa nitafanya hivyo.
Ni sauti za wahusika (watu), wanarekodi sauti kwa kufuatisha script.Unaweza kukaa mda mrefu kuiandaa yote halafu ukimaliza unaanza kuupload episode by episode.
Hivi zile sauti zinazoingizwa kwenye animation ni computarization au ni sauti ya wahusika haswa
MONEY STOP NONSENSE
Sikuwahi kuuona huu uzi umenyoosha sana naelewa huo muda ulioweka hapo mzee wangu π₯π₯ nazani blender umeiyonea vyakutosha hv Illustrator unatumia nayo maana siku ile nili zoom zile icon niliona PS, AF, AP na BL ππSuper Villain pita huku, naimani ungependa kuziona hizi.
Zile ni sauti za watu hali kabisa cartoon haina sauti ni vitendo tu sauti unaingia mwenye mtu halisi kabisa.Unaweza kukaa mda mrefu kuiandaa yote halafu ukimaliza unaanza kuupload episode by episode.
Hivi zile sauti zinazoingizwa kwenye animation ni computarization au ni sauti ya wahusika haswa
MONEY STOP NONSENSE
π π πSikuwahi kuuona huu uzi umenyoosha sana naelewa huo muda ulioweka hapo mzee wangu π₯π₯ nazani blender umeiyonea vyakutosha hv Illustrator unatumia nayo maana siku ile nili zoom zile icon niliona PS, AF, AP na BL ππ
Lakini najua hushindwi hakuna kinacho shindikana.π π π
Pamoja sana mkuu, Illustrator sijawahi kuitumia mkuu.
Hakika mkuuLakini najua hushindwi hakuna kinacho shindikana.