Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
Gari zipo muda wote mzee hata saa 3 usiku unaamsha... Unaenda kukaa pale CBE unajichagulia tu ipi upande.Gari za Dodoma to Dar zipo mpaka saa ngapi?
Unaweza maliza usaili saa 10 jioni na ukapata gari ya kurudi Dar muda huo?
Bei chee ni kuanzia 10000 chumba sio masta ni kizuri tuGuest za maeneo ya chuo cha mipango za bei chei ni zipi wakuu
Hapo kupata ni ngumu maana vyumba vingi huchukuliwa na malaya wa pale chakoIpo ya 12K(self) karibu na Msikiti wa Gadafi/Chako ni Chako
Inaitwa Seja Guest
Mpka sa sita usiku magari ya bukoba na kigomaGari za Dodoma to Dar zipo mpaka saa ngapi?
Unaweza maliza usaili saa 10 jioni na ukapata gari ya kurudi Dar muda huo?
Ndio mkuuHongera sana mkuu, kumbe ulipata kazi Dodoma [emoji122]
Hiyo hotel siijui.Asante sana mkuu.
Ni jirani na royal village hotel?
Hii lodge ina upako [emoji16]Tafuta lodge inaitwa Galilaya ipo makole bei ni 15,000/-
Ndio, zipo gari zinaondoka saa 11 jioni, pia zipo gari za mikoani zinazoenda Dar zinafika Dom mida hiyoGari za Dodoma to Dar zipo mpaka saa ngapi?
Unaweza maliza usaili saa 10 jioni na ukapata gari ya kurudi Dar muda huo?
Location gani hiyo na inaitwaje hiyo guest mkuuBei chee ni kuanzia 10000 chumba sio masta ni kizuri tu
Iko vizuri hamna harufu.Hii self ya price hiyo sijui itakuwaje! Naona bei ni ndogo sana, sio zile ambazo chumba kizima kinatoa harufu kama chooni?
Nakumbuka nilienda dom kipindi cha bunge, siku ya kwanza nikapata lodge makulu,, kesho yake nikachelewa kuchukua chumba vikajaa, nilihaha na pikipiki kusaka gesti hadi nikataka kwenda stand kuu kulala, kuja kubahatisha gesti four way,, gesti ya hovyo, vyoo vinanuka,,,Kama huna pesa lala kituo cha mabasi tu
Gest ya kawaida dodoma, usichukue self,, vyoo vinanuka, sijui shida niniIko vizuri hamna harufu.
Hiyo Guest niliwahi kukaa kwa wiki nzima wakati nafanya Induction, maana tulikuwa hatujui vituo vitakuwa wapi na hatukuweza kutafuta nyumba za kupanga.
Pia kipindi cha sahili nilikuwa nafikia pale.
Kuna room za 10k kwenye hiyo Guest ambazo sio self
Kwa uzoefu wangu, ile Guest haitumiwi sana(kwa kiasi kikubwa na wateja wa Chako ni Chako).Hapo kupata ni ngumu maana vyumba vingi huchukuliwa na malaya wa pale chako
Gari za Kigoma zinapita hapa Dom saa 1 usiku
Nilipokuwa nakaa mimi kipindi hicho, ni pazuri hamna harufu.Gest ya kawaida dodoma, usichukue self,, vyoo vinanuka, sijui shida nini
Zikichelewa saa 2 usiku.Gari za Kigoma zinapita hapa Dom saa 1 usiku
Sehemu gani hiyoNjoo hapa karibu na kidia.uliza florida.vyunba buku 10
Gesti za bei ndogo zipo nyingi.Nipigie kwa 0765920855 ili nijue siku unayokuja na ikiwezekezekana ntakutumia na picha za vyumba husika,maana kesho nitakua maofisini huko kushughulikia baadhi ya watu walionipa kazi mbalimbali,hivyo ntapita na gesti za jirani na Royal,nikuchukulie hata contacts.Habari mkuu, mimi nimeitwa usaili Dodoma. Ni mgeni kabisa Dodoma.
Usaili unafanyikia Royal Village Hotel.
Naomba nisaidie guest ya bei chee ya kufikia.
Na pia kufahamu Royal Village Hotel ipo mtaa gani?
Umeshasema ni ya kawaida na bei rahisi ulitegemea upewe ya huduma gani.. kaa ya 20k halaf uje usimulieGest ya kawaida dodoma, usichukue self,, vyoo vinanuka, sijui shida nini