Uzi wa vyakula tu

Mashallah! mna bahati sana mliopata kupikiwa na bibi.
Hata kitukuu wake kampikia hahaaa siku hiyo kijana wangu anatoa michozi kwa moto wa kuni ndani mle mi namwambia ndo baraka hizo.
Baba twende Namwambia sitoki humu ndani bila kula.
Na ndio ilikua last dinner tulivyoaga tu huku bibi akafa.
 
Huu ni mchemsho tu. Nyama unaunga km kawaida na thomu na tangawizi, binzar kdg na pilipili washa kdg.

Chemsha ikikaribia kuwiva kiasi weka kitunguu maji kiasi na ndimu.

Hio km brown ni mama sitas source unaweza kuweka kdg ukipenda. So yummy [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…