Uzi wa vyakula tu

Huwa natumia maziwa fresh
Maziwa ya mgando sinywi kabisa..hivi na fresh hayafai??

Akhsante kwa ushauri mpenzi [emoji120][emoji120]
Nitazingatia..
Ubarikiwe.

Actually ya mgando ndio mazuri (yana bakteria ambao wanasaidia kupunguza bacteria wanaosababisha ulcers , H.pylori) ila ya fresh sio mazuri. Acha kabisa for now.
 
Cooking cream imependezesha zaidi
 
Watatu kasoro[emoji56][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera...[emoji41][emoji41][emoji41]hongera zake jamaa anaekumiliki...hakika unastahili kuwekwa ndani, ungepata mume kama mimi ungeinjoy sana. Kila siku ingekuwa naingia jikoni mwenyewe someday tungekuwa tunashindana![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mashallah mashallah.. kumbe umpishi mzuri ee... hongera sana!! Mwenye nafasi yake atakuja mtaahindana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…