Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Naomba unifundishe namna ya kupika[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok my dear ni rahisi

Weka unga wako kiasi ukitakacho tia hamira, chumvi,yai moja, na yougart vijiko kama vitatu kama unga mwingi utaongeza

Changanya vyote then koroga uji mzitoo, weka mafuta kidogo, halafu acha uumuke

Kwenye kuchota sasa kuna namna 2 ya kuchota ili litoke shape nzuri ya duara mana ukikosea utatoa vitu kama mijusi...hapa uchotaji wake nakushauri uungalie youtobe jinsi wanavyochota

Ukimaliza kupika unatengeneza shira yake ya ambayo ni sukari na iliki........unachemsha sukari na iliki ya unga hadi uone kama inanata ,,ikinata ndo tayari nyunyuzia juu ya kalimati.itakua ndo tayari
Enjoy.
 
FB_IMG_1596804668891.jpg
 
Ubarikiwe[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu usemi kidogo unipeleke lupango baada ya kula nyara ya sirikali ya shule ya upili pwani

Jr[emoji769]
Nilikula nyara ya sirikali upili nikanogewa nikaifata hapo Ruvu.
Enzi hizo ujue sarawili celebration huku nna moka kiwi ya mwisho imepigwa mlandizi.
kufika gate we nani ,mi flani,unamtaka nani flani, nani yako mi mwambie mjomba.
Aah sjakaa sawa naona wana Rudi na marungu na mapanga nikalianzisha.
Basi huyoo huyoo njia ndefu ile kufika highway.
Niliwaacha kinywa wazi kuna mahali kulikua na kidimbwi hivi Nili dunk km Jackie Chan wakaniona upande wa pili naendelea na marathon wakabaki "tungekukamata"
Mi huyo nayeya.
Chai moto hiyo puliza kidoogo👌
 
Attachments

  • Urojo-Zanzibar.jpg
    Urojo-Zanzibar.jpg
    46.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom