Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Yaniiiiiiiiiiii wewe nakutafuta kwa tochi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaniiiiiiiiiiii wewe nakutafuta kwa tochi
Ok my dear ni rahisi
Yaniiiiiiiiiiii wewe nakutafuta kwa tochi
Nataka nikupitishe kwa wajumbe viti maalumukwanin unanitafuta
Hata najua basi. Mie nanunuaga tu.Huu ni mchele wa mbeya au wa dareeeesalama
Nataka nikupitishe kwa wajumbe viti maalumu
Ubarikiwe[emoji120]Ok my dear ni rahisi
Weka unga wako kiasi ukitakacho tia hamira, chumvi,yai moja, na yougart vijiko kama vitatu kama unga mwingi utaongeza
Changanya vyote then koroga uji mzitoo, weka mafuta kidogo, halafu acha uumuke
Kwenye kuchota sasa kuna namna 2 ya kuchota ili litoke shape nzuri ya duara mana ukikosea utatoa vitu kama mijusi...hapa uchotaji wake nakushauri uungalie youtobe jinsi wanavyochota
Ukimaliza kupika unatengeneza shira yake ya ambayo ni sukari na iliki........unachemsha sukari na iliki ya unga hadi uone kama inanata ,,ikinata ndo tayari nyunyuzia juu ya kalimati.itakua ndo tayari
Enjoy.
Muulize Saint Anne mchele wa kyela ulivyo wa kiwango, ukitia kwenye maji tu unanukia, ukipikwa majirani wanakufokeaHata najua basi. Mie nanunuaga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanakufokeaMuulize Saint Anne mchele wa kyela ulivyo wa kiwango, ukitia kwenye maji tu unanukia, ukipikwa majirani wanakufokea
Wanafoka banah nimeacha, kuupika mchele wa mbeya
.Birian dayView attachment 1525221
Sawa,kimix kabisaSubiri
Nilikula nyara ya sirikali upili nikanogewa nikaifata hapo Ruvu.Huu usemi kidogo unipeleke lupango baada ya kula nyara ya sirikali ya shule ya upili pwani
Jr[emoji769]