Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa kikombe chako rafiki
Ndiyo rafiki,kina miaka 20Nimependa kikombe chako rafiki
Rafiki huishiwi maneno [emoji51]Ndiyo rafiki!Kina miaka 20
Ni kweli rafiki wala siyo maneno,hicho kikombe kimeenda sana umri.Natamani ningeandika vizuri zaidi ili usione kuwa ni manenoRafiki huishiwi maneno [emoji51]
Hongera rafiki umejua kutunza, nilidhani toleo jipya na mimi nijipatie set.Ni kweli rafiki wala siyo maneno,hicho kikombe kimeenda sana umri.Natamani ningeandika vizuri zaidi ili usione kuwa ni maneno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera rafiki umejua kutunza, nilidhani toleo jipya na mimi nijipatie set.
Chakula cha Mama ni kitamu sana![emoji847]
MnoChakula cha Mama ni kitamu sana![emoji847]
Mwili haujengwi kwa tofali
Mdogo wangu unapenda soda wewe, hakuna chakula umekula bila soda,
Nje na ugali,siwezi kula chakula chochote bila kinywaji.Mdogo wangu unapenda soda wewe, hakuna chakula umekula bila soda,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwili haujengwi kwa tofali
Wow! Chakula hichi naweza pata picha jinsi ulivyo kimuonekano/kitabia.
#Mountaindew