Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
NdiyoUkashiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoUkashiba?
Safii,nilishauriwa zamani sana nitumie nikapuuza ila kwasasa nazihitaji maana kila anayenijua tukionana ananambia aisee kazana msosi,huo mwili si wakoNimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.
Nadhani hizi dawa ni nzuri hasa kwa wavivu wa kula kama Mimi.
Hata mimi hivyo hivyoSafii,nilishauriwa zamani sana nitumie nikapuuza ila kwasasa nazihitaji maana kila anayenijua tukionana ananambia aisee kazana msosi,huo mwili si wako
Kuna kitu kinanshangaza ,sijui ni viungo au mafuta wanayopikia naweza nikaagiza msosi mlima,matonge mawili nanawa kichefuchefu.Hata mimi hivyo hivyo
Nimekuwa mvivu sana wa kula,naisha mwili Kwa sababu sili chakula Cha kutosha.
Nkamu tukafukaghe[emoji1]
Tujitahidi kula.Kuna kitu kinanshangaza ,sijui ni viungo au mafuta wanayopikia naweza nikaagiza msosi mlima,matonge mawili nanawa.
Siku hizi nahakikisha maji,juice chai vipo km kuna mpunga.
Then tonge nyama maji.tonge samaki juice,mpunga ni ndima kyai ghwe.
Basi aah siku inaisha kuna chochote tumboni[emoji16].
Hilo yai km la Easter egg [emoji1787]
Mkate wa gudugudu
Si ni wali mahagare?