Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Safii,nilishauriwa zamani sana nitumie nikapuuza ila kwasasa nazihitaji maana kila anayenijua tukionana ananambia aisee kazana msosi,huo mwili si wako
Hata mimi hivyo hivyo

Nimekuwa mvivu sana wa kula,naisha mwili Kwa sababu sili chakula Cha kutosha.

Nkamu tukafukaghe[emoji1]
 
Hata mimi hivyo hivyo

Nimekuwa mvivu sana wa kula,naisha mwili Kwa sababu sili chakula Cha kutosha.

Nkamu tukafukaghe[emoji1]
Kuna kitu kinanshangaza ,sijui ni viungo au mafuta wanayopikia naweza nikaagiza msosi mlima,matonge mawili nanawa kichefuchefu.
Siku hizi nahakikisha maji,juice chai vipo km kuna mpunga.
Then tonge nyama maji.tonge samaki juice,mpunga ni ndima kyai ghwe.
Basi aah siku inaisha kuna chochote tumboni😁.
 
Kuna kitu kinanshangaza ,sijui ni viungo au mafuta wanayopikia naweza nikaagiza msosi mlima,matonge mawili nanawa.
Siku hizi nahakikisha maji,juice chai vipo km kuna mpunga.
Then tonge nyama maji.tonge samaki juice,mpunga ni ndima kyai ghwe.
Basi aah siku inaisha kuna chochote tumboni[emoji16].
Tujitahidi kula.
 
Wewe unaweza, hongera.

1746315_IMG-20180423-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom