Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako
1: maendeleo ya watu.
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compassion watafidiwa
2: Atakuza uchumi na shughuri za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka 15% hadi 1% , ambayo Ni 10%ya bizaa ulizoagiza.
3: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko- ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara .
Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.
Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati
4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika
Bado anatema cheche.....